Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali.

Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa stress watu wanamshauri amuache hataki. Mwanamme mwenywe sijui ana gundu kila anachofanya kinafail na hasara juu.

Sasa mwanamme kama huyu wa nini jamani kujitia stress tu ufe kabla siku si zako. Mwisho na wewe akutie gundu tu hata kuonekana usionekane. Angalieni na wanaume wa kuwa nao unateseka nini na gundu la mtu si bora umwachie mbali akacheze na wenye gundu wezake huko.

Mwanamme maendeleo

1619855658317.png

Tatizo la dada zetu ndio ilo wameelekezea matumaini yakutokea kimaisha kwa wanaume badala ya kuona watokaje wenyewe, yani mkiambiwa ata mshare bill tu wamesha kudisqualify nchi za wenzetu ni mambo ya 50/50 vingine ni huruma tu.

Yani kweli mitazamo iko tafauti mwanaume akiwa anasubiri deal moja apige au fursa ya kutokea wenzetu wanasubiri atokezee mtu amtoe kimaisha.
 
ZKM

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Uyo kiumbe mwache km alivyo majuzi kuna pesa laki 2 mzigo wngu uliletwa hme nikaagiza io pesa apewe mtu X ntaikuta kwake kilichonikuta kakata 30000
 
Omba usiishie kuwa kama huyo unauyemlaumu. Unachosema hapa ni kama ushirikina ukiachia mbali kuwa ni ujinga. Hakuna aliyefanikiwa siku moja. Hata akina Bakhresa walianzia msoto mwisho mambo yakanyoka..

Acheni kudanganyana. Kama mke amekuja kuchuma kwanini naye asije na hiyo pesa. Naona hizi ni kama tabia za vijikabila vya migombani ambapo kwao mwanaume ni chimbo. Wanaendekeza umaskini hadi kimaadili.
 
Back
Top Bottom