Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Hii bora iende... Ndio, sababu hatuna namna.
Toka mama ameingia kumekuwa na mabadiliko mengi sana. Tofauti na mtangulizi wake JPM. Magufuli alibinya pesa mikononi kwa wananchi lakini tukaona maendeleo ya serikali kupitia miradi mingi(sina haja ya kutaja sababu inaonekana).
Mama amekuja...
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi?
Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya?
Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda?
Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha?
Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022.
Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini.
Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo.
1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia...
Heri ya X Mass.
Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani.
Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA.
Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania?
Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta...
Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu.
Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura.
Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika kulifanya soka la nchi hii kupiga hatua mbele akiwa ktk nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu, ngazi...
Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti.
Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
Tuna vitu vingi Tanzania tumebarikiwa ila kutokana na siasa mbovu ndio mtaji unaotumika kuzoretesha au kuchelewesha maendeleo.
Watawala na viongozi utumia mbinu hii kama mtaji wao upate maendeleo.
Na hii kauli hata marehemu Jpm alisema "siwezi kukuletea maendeleo sababu umechagua mpinzani"
Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano hili lenye kaulimbiu ya "Habari kwa maendeleo endelevu", kongamano ambalo limewakutanisha waandishi wa habari pamoja na wadau wengine wa habari kujadili changamoto pamoja na mafanikio kwenye sekta hii, mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano...
Hivi mlitaka Serikali ya Zanzibar ifanye nini kwenye hili? Mnatakiwa kutambua kuwa Mv. Maendeleo imeanza kufanya kazi tangu mwaka 1980 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 600 na mizigo takribani tan 1001 kwa siku.
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44...
Bila Chama hakuna maendeleo. Kupitia Chama ndipo inatengenezwa ilani ya kunadi maendeleo katika kipindi husika (hapa nchini kila baada ya miaka mitano).
Sisi CCM tunaamini ili tuendelee tunahitaji vitu vitatu;
1. Watu,
2. Ardhi,
3. Siasa Safi
NB: Ni vema kila mwananchi akasome ilani ya Chama...
Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya.
Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
abiria
amavubi gfsonwin
king'asti asprin
kubeba
maendeleo
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mapinduzi
meli
serikali
serikali ya mapinduzi
tani
uwezo
yauzwa
zanzibar
“Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,.
Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga.
Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.