madereva

  1. mrackkiramadhani

    JamiiForums Tanzania Madereva wanaitajika

    Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizi Cruisers Mpya J300 na Prado J50 hakuna Manual Transmission. Sahivi na sisi Madereva wa Serikali tunaenjoy utamu wa Auto!

    Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6. Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel. Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Barabara iliyopo Kwerekwe Makaburini inakuwa hatarishi kwa kuwa Madereva wengi hawazingatii Zebra

    Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  6. Keagan Paul

    JamiiForums Tanzania Madereva 20 wanahitajika

    Habari zenu Madereva 20 Wanahitajika Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti Mahali pa Kazi: Dar es Salaam /Dodoma. Wanahitajika wenye uzoefu wa kuendesha Magari makubwa Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri atapewa kipaumbele. Ambatanisha Picha yako ndogo ya Passport na CV yako: hrfbde@gmail.com...
  7. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Sumatra: Makondakta na Madereva daladala Mbeya wanatoa lugha mbaya kwa abiria

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani. Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
  8. Pyaar

    JamiiForums Tanzania Ajira za madereva na Utingo

    Changamkieni fursa hiyo.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  10. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  11. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Madereva wa SGR wana leseni ya aina moja?

    Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yawafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa katika operesheni maalumu na walipopimwa walikutwa na ulevi kwa kiwago cha zaidi ya miligramu 80. Soma...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Madereva 15 wafungiwa leseni za udereva Tanga

    Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro yendesha oparesheni, yakamata madereva 60 kwa makosa mbalimbali ikiwemo ulevi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kuendelea kuimarisha usalama barabarani na kuzuia ajali zisitokee limefanya operesheni, misako na ukaguzi wa magari iliyofanikisha kuwakamata jumla ya madereva 60 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ulevi, kuzidisha abiria pamoja na kubeba abiria kwenye magari...
  16. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 wamefutiwa leseni zao kuanzia Agosti hadi Novemba

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC: Hatujakataa kusindikiza Taka hatarishi kutoka Malawi kwenda Uganda, Bali Wakala ndiye kachelewa kulipia. Madereva wawasiliane na Wakala wao

    Salaam Wakuu, Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao. "Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Madereva wa Magari ya Mizigo tumekwama mpaka wa Malawi na Tanzania kwa wiki 2, tunawasubiri NEMC

    Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania. Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Back
Top Bottom