macho

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa

    Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa. Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa. Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo. Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe. Swali langu ni moja na rahisi. Je, wale wasiojiweza kingono, watafanyaje? Je, hii kitu ni kweli...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpumbavu hawez kua na Akili, Temba kauwawa wanasingizia 'Mganga', Mfanyabiashara Kauwawa 'Mwili umekutwa kwa ' Mganga'. Fumbueni Macho!

    Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!! Kwao Kuua si kitu chochote Tena. Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA KUHUSISHA NA 'USHIRIKINA" !!. Baada ya Kutafakari kwa kina, na kupitia rejea kadhaa kadhaa za Wauaji...
  3. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kutana na Majaji macho kumchuzi

    Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi. Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha Majaji na mahakimu wote Tanzania. Majaji hawa wameonyesha kujali sana matumbo yao kuliko taaluma...
  4. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Kwamba Zanzibar kuwa majike mazuri zaidi yenye macho kama anasinzia ?

    kurekodiwa, huenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi, wanasayansi wanasema. Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye kisiwani Zanzibar katika bahari hindi - umbali wa kilomita 13,000. Wataalam wanaamini kuwa safari...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

    Ndugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee? Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake? Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yarupia macho njia ya baharini ya Bahari Nyekundu ya Eritrea

    Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu. Kabla ya hapo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania JF imenifumbua macho

    Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo. Humu JF 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo. Chakushangaza member wengi tunafata mihemko na bila kufanya analysis. Trump anasema hivi jioni tunafata, mchana anasema...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya Mafuta na Ripoti ya Chande. Fungua macho Mtanganyika!

    Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa! Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nani yupo macho?

    Nani yuko macho muda huu Katika mazingira gani Ya furaha? Ya huzuni? Ya dharura? Ya sintofahamu Hospital au nyumbani? Gesti ama safarini? Peke yako ama? https://www.facebook.com/share/r/1AoHzi2ZDZ/
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, hili ni pozi la kuteuliwa kuwa Balozi na mshauri wa Rais Samia, kwa masuala ya kidiplomasia?

    Ili ni pozi la kuteuliwa kuwa Balozi na mshauri wa Rais Samia, kwa masuala ya kidiplomasia? Au macho yamekuwaje? Mh Rais Wenje, msigwa na Mzee wa sukuma ndani wamemkosea Nini mbona hawapi hata nafasi ya ujumbe wa NYUMBA kumi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  12. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Je, macho yanahusika na tatizo la kujisikia kichwa kizito?

    Mambo vipendhy Husika na mada apo juu je, macho yanachangia na mtu kujiskia kichwa kizito? Mda mwengine kama kupata kizunguzungu mda huo huo ninavyojiskia hivyo na macho pia huwa kama yanavuta hivi kwa dalili hizi ni sahihi kwenda kwa daktari wa macho?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu, chura aweza tumia macho ya tai?

    Salaam! Ikiwa msaidizi mwenye macho ya tai ameona umuhimu wa chura kupewa macho ya tai Ili kuona sawa sawa, Kitaalamu hili linawezekana? Karibuni 🙏
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wenye Makanisa kama Mwamposa muwe macho na sadaka zenu

    KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please, CCBRT wanakubali bima ya Macho NHIF?

    Nisaidie kujua kama CCBRT wanakubali NHIF ( bima ya afya ya Taifa serikali) kwa matibabu ya macho? ASANTE
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kama movie vile kwa mkapa kha haya mashindano yangu macho

    Hii mipira sio ya kuendekeza sana unaweza shangaa Pressure shinikizo la damu gafla limekuzamia kumwilii Naangalia yanayoendelea huko taifa kwa mkapa Sina hamu
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mohammed said ametufumbua macho watanzania

    Amefumbua macho kuhusu wanaharakati wa mwanzo Kabla ya maandishi yake: Majina kama Abdulwahid Sykes, Ally Kleist Sykes, na African Association yalikuwa hayajulikani kwa umma Historia ya uhuru ilianza, kwa vitabu vingi, karibu na kuanzishwa kwa TANU (1954) Kupitia tafiti na nyaraka, Mohamed Said...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
Back
Top Bottom