Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo. Humu JF 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member wengi tunafata mihemko na bila kufanya analysis. Trump anasema hivi jioni tunafata, mchana anasema tunashangilia, usiku kasema hivi tupo nae.
Yaani kama akili zetu zinaendeshwa na usa kupitia remote . Kama JF ina watu kama hawa , mitaani kuna aina gani ya watu?
Kama taifa tunatakiwa tujitafakari sana