macho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee au wenye macho mmeng'amua

    Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka. Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje? CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Siasa Mamboleo: Macho yanapojaribu Kudanganya Akili (Ufahamu)

    Katika kukumbushana hapo kabla nilisema haya..... https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Lakini sasa naona kuna mengine ya kushangaza; tunafuja mali ili kwa macho tuonekane tupo vizuri kuliko uhalisia.... Wakati hatuna ambulance za...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polepole alikuwa akiishi na wasaidizi wawili lakini wakati anatekwa hawakuwepo, muda wote alikuwa nchini

    Hii ndio update ndogo niliiyoweza kuipata toka kwa wanafamilia wa Polepole
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM na ahadi za kiini macho

    Kilichoshindikana siku 1000 kitawezekana siku 100?
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi Mkuu 2025 Tumeukwepa, Asante Lissu kwa kutufungua macho, Asanteni pia mliomchagua mwenyekiti

    Haikuwa rahisi kuyakwepa haya maigizo. Asanteni sana.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrobarometer: Demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama

    Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia. Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

    Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa. Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳 Pole sana Odo!!
  10. Invisible

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  13. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi hizi DAP, sijui 7 on 1 zina ukweli wowote au kiini macho?!!!

    Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi tu.......mpaka mtu afanye hivyo (uume mbili kuingia kwa pamoja njia ya haja kubwa) binadamu huyu alikuwa...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wadada, legezeni macho ili kuimarisha uhusiano

    Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu. Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho. Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza. Kazi kwenu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu kuweni macho sana, kuna mashahidi wa UONGO wamepangwa, soma hukumu hii mjiridhishe

    According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Ulaji wa maboga unaweza kusaidia kuimarisha afya ya macho

    Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa hili, kuna rafiki angu mmoja ameniambia kula maboga kunasaidia kuimarisha afya ya macho. Je, ni kweli?
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake. Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha. Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Kaburi la shujaa Balozi,Luteni Jenerali,Silas Peter Mayunga lililopo Maswa

    Licha ya kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na mashujaa waliolitumikia Taifa kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, kaburi la Balozi na Luteni Jenerali mstaafu Silas Peter Mayunga limeonekana kuwa katika hali ya kusikitisha, kana kwamba limetelekezwa. Kaburi hilo lililopo katika makaburi ya...
  20. A glass of water

    JamiiForums Tanzania Picha za AL hizi hapa kadhaa, Leta za kwako tuburudishe macho.

    Tecknolojia ya AI imekuja na mambo mengi na wengine wanajikuta kama wamepata rafiki vile, Leo baada ya uchovu wa kazi niliamua kupunzisha akili kwa kuangalia kitu/vitu vipya. Leta na za kwako za AI tu tuburudishe macho.
Back
Top Bottom