Hivi kwa nini wanawake wanapenda watu maarufu?

KanyeWest_Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2026
Posts
237
Reaction score
539
Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya..

Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake?

Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu?

Swali la kizushi tu.

Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini haswa mtu maarufu kina wafanya wamzimikie?
 
Ukiwa maarufu, ukiwa na pesa, na pia ukiwa na madaraka makubwa utapendwa na kila mtu. Enzi zetu mwanaume ukiwa na mwonekano mzuri (mtanashati/handsome) ndiyo ulikuwa unapendwa.

Siku hizi mambo yamebadilika! Mwanaume mtanashati/handsome anachukuliwa kwa mtazamo hasi.
 
So you mean that admiration ni social construct?
 
Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya..

Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake?

Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu?

Swali la kizushi tu.

Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini haswa mtu maarufu kina wafanya wamzimikie?
Tafutaa helaa mkuu hata paka atakupenda
 
Back
Top Bottom