Atheists wengi wanaposikia hoja ya Mungu kama Muumba wa ulimwengu wanajibu haraka kwamba "Ulimwengu ulikuwepo milele hauhitaji muumba."
Jibu hilo linaonekana rahisi. Linaonekana la akili. Linaonekana kama njia nzuri ya kukimbia swali zito.
Lakini ni sayansi sio mimi P h a r a o h sayansi...
Betting Codes
Mkamaria anasuka mkeka wake kisha anashare betting codes za mkeka huo, mfano 72HD82. Wateja wengine hawahitaji kusuka mkeka kutoka mwanzo; wanachagua tu code, na mkeka unajisuka moja kwa moja. Ukiweka dau, mkamaria hupata sehemu ya asilimia fulani, mfano 4%. Kwa mfano, ikiwa watu...
boti
code
hivyo
kabla
kamari
kampuni
kichwa
kujiunga
kumbuka
kupitia
kuwa makini
lazima
links
maarufu
makampuni
makini
mikeka
mitandaoni
mkeka
mmoja
moja
pesa
referral
tahadhari
upande
wakubwa
wao
wengi
zao
Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya taifa, baada ya kunyimwa viza.
Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 53 alijitokeza hadharani kwa...
Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Tayari walikuwa na ujuzi maalum
Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
Tayari walikuwa na connections nzito za...
Wabillahi taufiq,
Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money.
Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca.
Sijawahi kuona...
Kama mnakumbuka, kuna siku nilikuja na uzi kuhusu huyu mwamba. Sasa wazee wa kazi wamempeleka akhera chapu.
Huzi wenyewe ni huu: El Mencho ndiye bosi wa dawa za kulevya anayeogopwa zaidi na mwenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kwa sasa.
Sasa kiongozi huyu wa dawa za kulevya aliyekuwa akisakwa...
22 February 2026
Jalisco, Mexico
Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026
https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0
Nemesio...
Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160.
Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake.
Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika.
Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
HAYA LAND HOV manyaunyau
GENTAMYCINE popoma
Binti wa zamani bibi kizee cha tulin
min -me bwashee
ELI COHEN myahudi
Lucas Mwashambwa chawa
Mshana Jr mtaalam
Shusha nyingine😁
Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa.
Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam.
Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa Wana ndoa hapa.
BURIANI SHEIKH ALI BIN MUSSA MAARUFU SHEIKH ROCKET
Naamini hakuna Muislam aliyezaliwa Dar es Salaam au kuishi tu ambae hakupata kumfahamu Sheikh Rocket au kumuona angalau kwa mara moja.
Mimi binafsi yangu nikimuona mara nyingi mitaani akipita amebeba bendera yake yenye maneno: ‘’Laillah...
Wakuu,
Kwanini hizi aina nyingine za Mbwa hatuoni zikitangazwa sana hapa Tanzaniaa zaidi ya German Shepherd
Je upatikanaji wake ni mgumu au ndio watanzania wamekariri tu?
1.Golden Retriever
2.Labrador Retriever
3.Husky
Sifa zao
1.Ni salama na rafiki kuishi na familia hasa watoto.
2.Wana uelewa...
Watu maarufu, hasa viongozi wa kisiasa au wanaharakati, huwekewa sumu mara nyingine kwa sababu ya misimamo yao, ushawishi mkubwa, au kuwa tishio kwa maslahi ya watu fulani wenye mamlaka au maslahi ya kisiasa, kiuchumi au kijeshi.
Hapa kuna sababu kuu zinazochangia hali hii:*
1. Migogoro ya...
Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo?
Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha
Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu
Dar Express nawaona...
1. SLEEPOVER
Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l.
2. ONE NIGHT STAND
Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile.
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.