Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

Makebo ushakua msemo maarufu mtaani

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
7,915
Reaction score
15,652
Nilienda dukani kununua mahitaji ya hapa na pale leo wikiend, mara pap kapita boda kapakiza dada anamzigo kama wote, ghafla nikasikia wamama wauza vitafanwa na supu wanasema " YALE MAKEBO YATAVUNJA SPRING ZA BODABODA"

Nikatoka pale nacheka sana moyoni kwahyo huu msemo wa Makebo ushakua serious hivi?

Jumapil njema ndugu zetu walokole
 
Ngoja namimi niuanzishe mtaani kwetu😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom