Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,895
- 28,669
Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo
Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu..
Now, kila kitu kina anza kumake sense,
Nime amka sasa, kutoka a big slumber..
Najisemea haya maneno leo tarehe 24/8/2026 ya kuwa am gonna be soo popular in this country(2:22) as am writing this..
I know I sound dramatic, ila natamka rasmi ya kuwa by the mpaka kufikia 2030 I'll be one of the most influencial people in Africa then kuanzia hapo mpaka 2040 I'll have been one of the most popular people in the world.. Sio kwamba kila mtu atanijua... Ila the common known people in the world.. I'll be one amongst them..
Wana jamii forum tunzeni haya maneno,
Toka nikiwa mdogo nimekuwa nikiwaambia watu kuhusu mafanikio ya watu toka wakiwa ground zero, na kweli unakuta huyo mtu niliyemsema l anakuja kuwa top notch artists, mwana michezo, au kiongozi in whatever form ya kile kitu anafanya... Mimi sio mtabiri maana mtabiri anakuwa hajui kuhusu mtu, mimi namwona mtu then najua by observation..
So kwa mimi mwenyewe tayari nimesha ona.. (I am one of them GOATS to become and the journey begins..)
Sasa kuna watu watashambulia huu uzi kwa nongwa binafsi, well hiyo ndo itakuwa driving force yangu maana tayari ndo atakuwa kama fuel kuongeza kasi ya mimi kupata juu..
So that's it.. Save the date, save the words...
Miaka ya hivi karibuni hasa 2028 hivi Tanzania Nitakuwa ninaimbwa sana..
By 2030 Africa will be singing my name, by 2040 the whole world gonna know who IAM..
So, ndo ivyo yani nimeshasema. IAM THE NEXT BIG Thing. Because there's no any other option than me winning 🥇