Maendeleo ya mwanadamu yamebadilisha mfumo wake wa maisha imekuwa kila mtu ana hitaji maarifa katika utendaji wake wa kazi ili apate matokeo ya kufanikiwa. Kupata maarifa imekuwa kitu chakwanza kwenye ukuaji wa mtu yeyote. Tumekuwa bize na kutafuta maarifa ili kutimiza matakwa ya maisha yetu ya...
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi.
Huweza kutumika kwa madhumuni mbalimbali, kama vile kusababisha madhara, kushawishi matukio, au...
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua
1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.
2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
UTANGULIZI
Miaka 7 iliyopita niliamua kufanya uchunguzi na tafiti mbalimbali kwa nini mataifa mengi sana ya afrika ni masikini pamoja na taifa letu la Tanzania. Katika uchunguzi na tafiti zangu niliamua kusoma historia ya ulimwengu wa kale,nikasoma na ulimwengu wetu wa sasa na nikasoma...
Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
Habarini nyote.
Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho.
Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
Yaani kama mtoto amezaliwa bila mama kufanya hivyo vitu anakuwa na akili lakini kama mama yake angefanya hivyo wakati wa uja uzito basi uwezo wa mtoto huyo kiakili ungekuwa mara mbili ama mara tatu ya uwezo wake alionao
Ni utamaduni ambao upo huko Israel mwanamke anapokuwa na uja uzito anaanza...
Niliwahi andika humu, kua Dunia nzima utazunguka lakini Tanzania pekee ndio Utakutana na Bunge lenye wabunge wajinga wajinga Kwa kiwango kikubwa.
Wabunge wa Tanzania, Kwa ukilaza wao, Uwezo Mdogo wa akili, kushindwa kufatilia masuala nyeti, wamejikuta wanamshangaa tu Mpina.
Mbunge hajui hata...
Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe.
Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine...
Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana.
"Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu.
Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika
Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana?
Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba
Kwenye ubongo wako kuna haka kabutton kanaitwa NUCLEUS ACCUMBENS. Haka ndio kanakufanya unakuwa mtumwa wa pornography, mlevi wa kupindukia, madawa ya kulevya, kamari na kubeti, vyakula vya hovyo, na addiction nyingine zote. Ukicheza na haka kanakuharibia maisha for good!
Nimekutana na hii video mtandaoni,
Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma.
Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
Mapitio
Zawadi ya thamani zaidi kutoka kwa Mungu ni uwezo wa kuona ulimwengu huu wa kupendeza na wa kupendeza! Kwa kusikitisha, sio kila mtu ulimwenguni anayeweza kuiona. Hata hivyo, katika 1829, Louis Braille alitoa zawadi kubwa kwa jamii yake ya vipofu kwa kuvumbua nukta nundu. Kila mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.