maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Last Philosopher

    JamiiForums Tanzania Uelewa wetu wa Maarifa unapoua uelewa wetu wa mwili

    Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi tumevichambua kwa faida na hasara kutokana na mahitaji yetu tunavyo hisi tunahitaji kuwa bora. Kila siku...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa bodi zote sensitive nchini ni wazee, wana maarifa lakini wanakosa utandawazi; nini kifanyike wasiendelee kuwa watia sahihi?

    Kila siku ukisikia wajumbe wa bodi wameteuliwa utasikia huyu kustaafu kule na yule kustaafu huku. Wanaosimamia mipango ya nchi wanapoteuliwa wote unabaini walishastaafu. Lakini unapokwenda kwenye mashirika binafsi yanayoganya vizuri katika private sector Duniani utabaini wenye mamlaka kamili...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elimu (maarifa) kidogo tu kumhusu mwanamke.

    WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu wao. Wanawake hawataki wanaume ambao...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Dini ijikite kuelimisha waamini wa Dini husika, Vitumike vitabu vya Dini husika kukazia maarifa ya Dini husika ndani ya Mafundisho husika.

    Mafundisho ya Dini yenye uwalakini. Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu. Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya Ukristo (Ku ingilia Mafundisho ya Ukristo na misingi ya Iman yake) nikuonesha Imani husika inayo...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

    Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
  7. ward41

    JamiiForums Tanzania Kibu Dennis hana maarifa ya mpira

    Kibu Dennis anajichosha tu na mikimbio yake, maarifa kidogo Sana. Kwa haraka anaonekana kwamba ana bidii lakini ni mchezaji mbovu Gwede haonekani Sana lakini ana maarifa makubwa. Gwede anabadilisha matokeo muda wowote. Hana mengi uwanjani Ila jamaa ana target sana.
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maarifa au ufahamu ulifichika "esoteric knowledge" :Inawezekana tuliyofundishwa yote siyo yalivyo

    Dunia imejawa na siri na waaofanikiwa kufahamu hawana Nia ya dhati kuhakikisha umma unaamka. Watu wengi leo wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Kinachouma zaidi maarifa yanayotolewa ni "exoteric". Maarifa yanayotolewa ni kivuli cha maarifa halisi. Uchu na tamaa ya mwanadamu kumtawala mwanadamu...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  11. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi kwa kukosa maarifa wanajiangamiza sana na kujikuta hawajielewi

    Nimeamua kuandika huu uzi baada ya kusoma nyuzi kadhaa na maoni ya watu mbalimbali. Hizi Dini kuu mbilii za Ukristo na Uislamu ni Mkusanyiko wa Tamaduni za Makabila makuu mawili. 1. Kiyahudi 2. Kiarabu. 1. Ukristo chimbuko lake ni Uyahudi ambapo Yesu Kristo pia alikuja kuregeza baadhi ya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

    Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo. Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine. Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumuonyesha Mbwembwe za Kishamba Adui aliyekuzidi Akili, Maarifa na Mbinu ni Upumbavu mkubwa

    Na kibaya zaidi huyo Unayejitutumua kumuonyesha Mbwembwe zako si tu anakumudu bali anakujua ulivyo na mpaka Jikoni na Chumbani Kwako pia anakujua. Wewe hujiulizi tu hata Miwani niliyovaa si ya kawaida ( ni ya Kinjagu tupu ) na nilikataa Kusalimiana kwa kupeana Mikono na Wanafiki Watatu kwakuwa...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

    Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi. Tizama Video Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza. https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

    Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Maarifa Hatari: Embu tujifunze na kumjadili huyu Shetani vizuri

    Kwanza naomba mods msihamishe uzi huu kwa kuupeleka kwenye jukwaa la dini maana nataka tumjadili huyu Shetani katika misingi ya maisha yetu ya kila siku na si katika misingi ya dini. Naileta mada hii kwa tahadhari kubwa sana. Sina nia ya kumpromote huyu jamaa ila nadhani imefika wakati...
Back
Top Bottom