maarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Usipoteze muda kucheza games zisizo na tija, cheza "Simulator games" kujifunza ujuzi, kuongeza maarifa na fursa za kimaendeleo

    Simulator Games ni michezo inayolenga kutoa uzoefu wa maisha halisi kupitia mazingira ya kidijitali. Michezo hii inahusisha kuiga shughuli mbalimbali za kila siku au za kitaalamu, kama vile kilimo, udereva, upishi, au hata ueubani, n.k. michezo hii huweka mazingira halisi yanayosaidia wachezaji...
  5. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Maarifa ya zama hizi

    Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa... Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver hatofautiani na mwanachuo kabisa. Je nini tatizo? Kwa experience watu wanamaliza chuo bila...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mnaokimbilia kwa haya makanisa ya kinabii, njooni hapa turudishane njia kuu

    Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu anakutawala, anakuibia anakunyima haki yako anakuwa amekuzidi akili na maarifa

    Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja. Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi. Natoa...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  9. Oya Tusepe

    JamiiForums Tanzania Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  10. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  11. Mzee wa kusawazisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuwa na maarifa kuliko elimu

    NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
  13. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maarifa ya muhimu ndiyo yanayobaki baada ya kusahau unachojifunza shuleni?

    “ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
  14. Sina Ndugu

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  17. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Ni wakina nani hawa na wanamadhumuni gani au ni mwanzo mpya wa maarifa umetufikia?

    Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo. Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
  18. Pule

    JamiiForums Tanzania Ongeza maarifa Kwa kusoma vitabu

    Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
  19. MulengaMulenga

    JamiiForums Tanzania Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  20. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
Back
Top Bottom