Yawe maandamo ya Amani na siku hiyo ifanyike ibada kubwa .Tena kubwa kabisa.
Baada ya maandamano mfanye ibada kubwa . Maandamano haya yawe Tanzania nzima.
Muwakumbuke wote bila kubagua dini. Mumkumbe Mzee Ali Kibao na wenzake wote ambao baada ya kutekwa na kuuliwa ilitoka kauli kuwa kifo ni...
My people,
Ni muendelezo ule ule wa makala zetu mbali mbali za kuwakomboa vijana dhidi ya ushawishi wa kufanya maandamano haramu,ambayo madhara yake wote tunayajua
Kwa mujibu wa taratibu za nchi yetu,ili maandamano yawe halali au yapate uhalali basi kuna mambo kadhaa au masharti yapate...
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia.
Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
My people,
Machafuko ya Maandamano na Athari Zake: Mifano ya Nchi Tofauti Duniani
Maandamano ni njia mojawapo ya wananchi kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Hata hivyo, pale maandamano yanapokosa mwelekeo wa amani, yanaweza kubadilika na kuwa machafuko yenye madhara...
25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3.
Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha kuisimamisha Dar kwa muda.
Katika sakata hilo Hamza alifanikiwa kuwapeleka peponi polisi 4, na kuwajeruhi 6...
Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo.
Ama sikukuu yoyote ile ya kidini.
Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji.
Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
Binafsi naamini huu ni mkakati wa kudhoofisha sauti za wengi:
Kupanga maandamano siku ambayo ni sikukuu muhimu zaidi ya kidini ni mbinu ya kulipasua kundi la wanaodai mabadiliko, kuwapunguzia nguvu na hatimaye kulizika. Hii nii old trick, usipoweza kuwashinda kwa wingi wao basi watengenezee...
Mnamo dec.9 wanasiasa na wanaharakati wasiojulikana na wanaojulikana lakini wakiwa mafichoni kusikojulikana, walituma mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana kufanya maandamo haramu yasioyo na kibali wala malengo mahususi ambayo kwa kiasi kikubwa yalipuuzwa na waTanzania wote hususani vijana, na...
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028
Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?
Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa...
Serikali ya Waziri Mkuu Rosen Zhelyazkov imejiuzulu baada ya maelfu ya waandamanaji kujitokeza mitaani katika miji mbalimbali nchini Bulgaria na kujaza eneo la katikati ya mji mkuu, Sofia, Jumatano usiku. Hatua hiyo ya kushangaza imekuja saa chache kabla ya kura ya kutokuwa na imani na serikali...
Nini kimetokea siku hizi.
Akifa Mbunge wa CCM Hawa Gen Z wanashangilia Sana lakini Akifa GEN- Z mwenzao wanasikitika na wanaenda kumzika kishujaa kwa maandamano.
Fundisho: Wabunge wa CCM mjitafakari hali ni mbaya Sana, GEN-Z hawataki hata kuwaona mkivaa hizo T-Shirt zenu za Chama
1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi?
2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi?
3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao?
4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao?
Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi?
Je, hizi taarifa...
Wanaukumbi.
Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi
Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati
Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya;
“Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.