maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwenye hotuba ya Samia hajasema D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka D9

    kwenye hotuba ya ndugu samia hajasema #D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka #D9 Kwa kifupi anaogopa balaa amechanganyikiwa na upinzani wa gen z
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Unaporudi na kulia leo "Kijana wako kaumizwa mguu au alikufa," ulishindwa nini kumzuia asitoke?

    "Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?" Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam...
  4. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yale hayakuwa maandamano, zilikuwa vurugu

    Mbele kuna mwanga? 🤨
  5. adriz

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mihemko imewagharimu sana vijana, wale walioitwa mashujaa kwa kutoka kufanya uhalifu maisha yao yameisha, waliowatuma wamebaki. USIKUBALI KUTUMIKA

    Wanaharakati uchwara waliwajaza mihemko vijana kwamba waende kufanya fujo, mwishowe wameishia kupoteza maisha na wakina maria wamebaki wakila maisha, ewe kijana maisha yako ni ya muhimu sana kwa taifa usishawishike kufanya vurugu, uhalifu katika nchi yako
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjadala wa maandamano ya Disemba 9 wajadiliwa hadi bar. Vijana kwa wazee waja juu

    Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025 Wakiwa kwenye...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

    Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

    Yaan ilikua wewe ukionekana unakula Shaba ya kichwa, tumbo au mkoundouni. No discussion. RIP wote
  13. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  14. covid 19

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amos Makalla: Oktoba 29 hakukuwa na maandamano, kulikuwa na vurugu

    Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu. "Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  17. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Maandamano D9: resiliency pekee ndo itawatoa watawala

    Wakuu kuelekea D9 kuna angalizo muhimu hapa. Mafanikio yamejengwa kwenye msingi wa uendelevu na kushikilia bomba. Wanajeshi wala polisi hawatawazuia waandamanaji kwenda Ikulu. Wanajeshi wamejiapiza kuzuia vurugu tuu hivyo endapo waandamaji hawatosababisha vurugu basi mwendo wa Ikulu utakuwa...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa

    Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Tanzania intelligence inaruhusu maandamano ya raia, wakati ni jambo dogo TU likifanywa maandano yanayeyuka kama barafu!

    Kwani hao viongozi wa wahuni wapo wangapi Hadi Damu nyingi za watanzania ziendelee kumwagika!!? Viongozi wahuni wakuu hawafiki hata watano lakini namna ya kuwashinikiza inagaharimu uhai wa Tanzania maelfu kwanini!? Kwanini hao wachache msifanye jambo Moja TU na mioyo ya watz ipone na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

    Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
Back
Top Bottom