Kazakhstan: Serikali yajiuzulu kufuatia maandamano ya kupinga bei za mafuta

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo.

Mikusanyiko mikubwa imeripotiwa katika Miji mikubwa kadhaa na Polisi wametumia mabomu ya machozi kudhibiti watu. Hatua kadhaa za dharura zimetangazwa ikiwemo marufuku ya mikusanyiko.
===

The president of Kazakhstan has declared a two-week state of emergency in parts of the country after protests over fuel price rises turned violent.

Big demonstrations were reported in several areas across the country.

Police in Almaty, the country's biggest city, used tear gas to contain crowds after vehicles were set on fire.

A decree issued by President Kassym-Jomart Tokayev on Wednesday said that he had accepted the government's resignation amid the unrest.

It also appointed the nation's deputy prime minister, Alikhan Smailov, as the new prime minister on an interim basis.

In a video address on Tuesday, the president said that attacks on government offices by protesters were "absolutely illegal".

He declared an emergency in Almaty and in the western province of Mangistau.

The emergency measures there will include an overnight curfew and a ban on mass gatherings, according to official documents cited by Reuters.

Demonstrations began after authorities in the oil-rich nation lifted price caps on liquefied petroleum gas used for vehicles, causing consumer prices to surge.

Some thousand protesters gathered in Almaty on Tuesday night. AFP news agency reported that riot police were injured in clashes.

There have also been reports of internet outages across the country.

President Tokayev tweeted late on Tuesday that the authorities would restore lower prices for the fuel "in order to ensure stability in the country".

Dissent and protests are rare in Kazakhstan, which declared independence in 1991 amid the collapse of the Soviet Union.

However, the town of Zhanaozen, in Mangistau province, was the scene of deadly unrest in 2011. At least 14 oil workers were killed in a police crackdown on a protest over pay and working conditions.

The town has also been one of the main centres of the latest unrest.

Former president Nursultan Nazarbayev led the nation largely unchallenged until his resignation in 2019. President Tokayev, his hand-picked successor, was elected in a snap 2019 election criticised by international observers.

Source: BBC
 
Kuna nchi walizichapa bingeni kisa tozo, hao wengine wameandamana bei ya mafuta kwenda juu.

Wakati tunamshangaa Job, hebu na sie wananchi tujitathmin kidogo kama tupo sawa.

Kuna wakati ni rahisi sana kurusha lawama bila kuangalia kama umefanya jsmbo kwa upande wako.
 
Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo Nchini humo...
😆😆😆 Hawa Wana mafuta ila bei bado ziko juu afu anatokea punguani mmja anasema Tzn mafuta yako juu ..

Tzn inadekeza Sana watu wake ndio maana watu hata waelezwe Hali halisi bado wanalaumu na kutukana viongozi.
 
Hawa Wana mafuta ila bei bado ziko juu afu anatokea punguani mmja anasema Tzn mafuta yako juu ..

Tzn inadekeza Sana watu wake ndio maana watu hata waelezwe Hali halisi bado wanalaumu na kutukana viongozi.
Acha ukilaza ww , hivi unajua bei ya mafuta zambia na malawi, hayo mafuta tanapitishwa hapa kwako , unajua bei ya sukari mbea, kule wanatumia sukari ya nchi jirani
 
Acha ukilaza ww , hivi unajua bei ya mafuta zambia na malawi, hayo mafuta tanapitishwa hapa kwako , unajua bei ya sukari mbea, kule wanatumia sukari ya nchi jirani
Bei imefanyaje? Huko Zambia unakosema Nchi imefilisika na mfumuko wa bei haukamatiki kama Uturuki.

Acha ufala
 
Hiyo nchi wananchi wao sura zao zinafanana nusu wachina nusu wazungu
 
Back
Top Bottom