maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndebile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, walioibiwa na kuporwa Juzi wakati wa Maandamano ya Yanga SC wakashtaki kwa nani?

    Nimehudhuria mara nyingi 'Mapokezi' Makubwa ya Simba SC, ila sijawahi kusikia Watu wakiibiwa kama ya Yanga SC juzi.
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UVCCM andaeni maandamano kwenda ofisi za UN , kwakuingilia mambo ya ndani suala la Ngorongoro!

    Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo. Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania. Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Babati: Viongozi BAVICHA Taifa wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya mkusanyiko usio na kibali

    Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani atangaza kufanya maandamano dhidi ya Serikali

    Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan, Imran Khan ametangaza kuongoza maandamano ya amani ya kudai uchaguzi mkuu ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na Wabunge. Khan amewaomba wasuasi wake wa Chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) na raia wote wa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Maandamano Sri Lanka: Serikali yatoa madaraka ya dharura kwa Jeshi na Polisi

    Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Wafanyakazi wagoma kushinikiza Rais Gotabaya Rajapaksa kujiuzulu

    Vyama vya wafanyakazi Nchini humo vimefanya mgomo vikitaka Rais Gotabaya Rajapaksa pamoja na Serikali kujiuzulu. Mgomo huo umesababisha Shule na Biashara kufungwa, pia umeathiri usafiri Mgomo huo umefanyika wakati maelfu ya wananchi wakiendelea kuandamana kwa siku ya 20 wakitaka Rais Rajapaksa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete Sri Lanka, Madaktari waitisha maandamano kutokana na uhaba wa dawa

    Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea katika miongo kadhaa Madaktari wanasema hali iliyopo inaweza kusababisha Mfumo mzima wa Afya unaweza...
  14. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kupinga ujenzi wa bomba la mafuta(EACOP) Kati ya Tanzania na Uganda nchini Ufaransa ni "Economic Espionage"

    Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa maziwa makuu imekuwa ikitumiwa sana na washirika wa magharibi na kampuni nyingi binafsi katika...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Naumia, nalia, nasononeka kila nikiliona kaburi la Akwilina Akwilin. Serikali ilipe fidia familia yake; marehemu alipanga kuwajengea wazazi wake

    Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema. Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye...
  17. Maria Nyedetse

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoambatana na kuharibu mali kwa kisingizio cha Demokrasia

    Naomba kabla sijaendelea kusema jambo moja... "Naunga mkono vuguvugu za kidemokrasia ambazo sii za vurugu" Daima siungi mkono vurugu kwa kisingizio cha Demokrasia. Wanajamvi leo naomba kusema kitu ambacho najua wengi wetu wanaweza wasinielewe LAKINI naamini kuna watakaonielewa. Mara nyingi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kunusuru Hifadhi ya Ngorongoro

    Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
Back
Top Bottom