maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

    Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto...
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Labda waweke ulinzi kwa miaka mitano yote na katazo la kutokutoka nje siku wakisema hali ya kawaida iendelee tutaanza maandamano

    Salam Tutajitahidi kadri iwezekanavyo leo maandamano yawepo tena maandamano ya nguvu kubwa mpaka mafedhuri waachie nchi Ikishindikana leo tutaandamana palee watakaposema raia waendelee na shughuli zao za kawaida, na sisi wananchi tutaanza maandamano kuanzia siku hiyo mpaka watukabidhi taifa...
  5. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

    Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je, nchi itasimama kwa siku 365, siku 730, siku 1095, siku 1460 bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyozinduliwa leo yataambatana na sophisticated Cyber operations

    Imagine watu wako ndani hawaruhusiwi kutoka alafu hawawezi kutoka na CCM wao pia hawawezi kutoka na kutumia huduma za mitandao. #SamiaMustGo
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mtego wa maandamano ya amani leo D9

    Maandalizi muhimu yote yameshakamilika.. Na muda huu ninapoandika huu uzi watu wanaendelea kujongea maeneo ya makutanio Zimetumika kila aina ya mbinu, elimu, maarifa na kuhamasishana ili maandamano haya yawe ya amani na kusiwepo uharibifu wa mali na miundombinu.. Vibaka na wezi wameshapewa onyo...
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaoishi mbali na vituo vyao vya kazi kipindi kama hiki cha maandamano wanatoboa vipi mpaka kufika vituoni mwao?

    Najaribu kuwaza, kuna polisi wanaishi mbali na vituo vyao vya kazi, sasa kipindi kama hiki cha maandamano wanatoboa vipi mpaka kufika vituoni mwao? Wanapishana vipi na kundi la waandamanaji?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jitafakari kabla ya kushiriki maandamano yeyote yale

    Tangazo kwa vijana wote wa tanzania. Vijana wote wa tanzania mnashauriwa kutoshiriki katika ushawishi unaofanywa wa maandano hapo tar9/12 Kimsingi, hakuna maandamano kwa vile waloyatangaza wameshaishiwa pumzi. Jali maisha yako.
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa Yako: Zanzibar Kutakuwa na Maandamano.!

    Anasema wana zunguka na magari ya kijeshi usiku huu kimya kimya. Taarifa zaidi ni kuwa hawapigi ving'ora kama huku bara ila wanazunguka kila eneo kutoa taarifa kuwa huko napo wapo. Niliposoma juu ya habari ya watalii kupungua Zanzibar nilijua hii nayo itakuwa sehemu ya kuwakimbiza, anauliza...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Leo vitu vimepanda bei balaa. Wanatumia kigezo cha maandamano kuumizana

    Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa. Kilo moja ya nyama elfu 17 Nyanya moja 500 Chips yai elfu 5 Soda elfu 1 Nk nk Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo Hapo hakukuwa na maandamano hali ipo hivyo je maandamano yakiwepo angalau wiki 1 si itakuwa balaa zaidi Tamaa za...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM wamelipwa kuleta fujo kesho tumalizane nao on the spot maana maandamano ni ya amani

    Tumekubaliana maandamano ni ya amani, sasa kuna UVCCM wamepanga kuanzisha vurugu ili polisi wapate kisingizio cha kuua waandamanaji. Hao tunawamudu nawashauri waage kabisa familia zao kabla ya kufikiria kitu kama hicho.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Je maandamano ya kesho yatafanikiwa au hayatafanikiwa?

    Kwa kufuatilia madai ya waandamanaji baadhi yamatakwa hayawezi kutimizwa Kama vile suala la kuonba serikali ya mseto au kurudiwa uchaguzi.Swali najiuliza Kama hayatimizwi mwisho wake ni upi? Je kuandamana kwa mabango ndio itafanya mhe Raisi mama Samia aondoke kweli? Reality inaniambia hawezi...
  15. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Nini kitafuata ikiwa maandamano ya D9 hapo kesho hayatofanikiwa?

    Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao. Sasa Siku yenyewe ni kesho . swali la kujiuliza hapa ni maisha baada ya D9 ikiwa maandamano hayatofanikiwa. Je ibilisi...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walivyojipanga yale maeneo ambayo wanaona ndio chanzo kumbe yanaweza maandamano yakawa Zanzibar

    Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa sehemu ambayo uwezi tegemea kabisa.
  17. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayotabiri uwezekano wa maandamano makubwa nchini yoyote (kwa mtazamo wa utafiti, si vitendo)Nchi za kiarabu zilivyodondoshwa

    ‎1. Legitimacy Collapse (Kupoteza Uhalali) ‎Wananchi wengi wanapoamini kuwa serikali: ‎Haitetei maslahi yao ‎Imekosa uadilifu ‎Imeshindwa kiuchumi ‎utawala hupoteza msingi wake. 2. Economic Trigger (Msukumo wa Kiuchumi) ‎Bei ya chakula, mafuta, ukosefu wa ajira — huwa chanzo kikubwa. 3. Mass...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simbachawene unaposema mfano Sudan, hujasema sababu unakimbilia kupinga maandamano

    Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale. Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka. ujataja haya mambo: • Uchaguzi feki, • Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki. Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

    Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini kataa maandamano inahimizwa Sana kuliko kataa utekaji?

    Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana. Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji. Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si...
Back
Top Bottom