maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi yapiga marufuku maandamano ya Disemba 9

    Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu unaoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Katika taarifa iliyotolewa Desemba 5, 2025 na Msemaji wa Jeshi...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kweli Serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana. 3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa 4. Viongozi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mabinti wa Taasisi ya Mama Asemewe wapinga vikali maandamano ya Dec 9, wasema ni siku ya uhuru si ya vurugu

    Wakuu Nchi ina heka heka sana hii vijana kama hawa sidhani hata wanachokiongea kama wanakijua au ni ilmradi tu, yani ni kama wale wale wazee wa lile jiji === Katibu Msaidizi wa idara ya Mabinti na Uwezeshaji wa Taasisi ya Mama Asemewe Bi. Beatrice Mwahegili amewataka Vijana hususani Mabinti wa...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wengi wanao ondoka Dar kukimbia maandamano ya Gen Z Disemba 9

    Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9. Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa =========== Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni taarifa ya CHADEMA kulaani maandamano ya Desemba 09

  7. M

    JamiiForums Tanzania Nayaona Maandamano katika ulimwengu wa kiroho

    Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
  8. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je hili kundi linaloondoka sasa kutoka Dar kwenda mikoa mingine, ni hofu ya maandamano au? Je, vipi kuhusu huko waendako?

    Wakuu Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi. Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi tu wamekuwa na hofu? === Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DPP awafutia kesi ya uhaini Niffer na Mika Chavala

    Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Desemba 3, 2025 na Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya, baada wakili wa Serikali...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwenye hotuba ya Samia hajasema D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka D9

    kwenye hotuba ya ndugu samia hajasema #D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka #D9 Kwa kifupi anaogopa balaa amechanganyikiwa na upinzani wa gen z
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo jela miezi 8, ila lawama za maandamano anapewa yeye?

    1. Lissu yupo gerezani Toka mwezi wa April, Kwa kesi ya kumbambikiwa ya ugaidi 2. Lissu na Chama chake hawakuwa na mgombea. Hivyo hawakuwa na muda wa kufanya kampeni na kunadi wala kuchochea vurugu na maandamano 3. Lissu anafadhiliwa vipi na wazungu na Yuko gerezani hana mawasiliano yoyote...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Unaporudi na kulia leo "Kijana wako kaumizwa mguu au alikufa," ulishindwa nini kumzuia asitoke?

    "Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?" Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam...
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yale hayakuwa maandamano, zilikuwa vurugu

    Mbele kuna mwanga? 🤨
  14. adriz

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mihemko imewagharimu sana vijana, wale walioitwa mashujaa kwa kutoka kufanya uhalifu maisha yao yameisha, waliowatuma wamebaki. USIKUBALI KUTUMIKA

    Wanaharakati uchwara waliwajaza mihemko vijana kwamba waende kufanya fujo, mwishowe wameishia kupoteza maisha na wakina maria wamebaki wakila maisha, ewe kijana maisha yako ni ya muhimu sana kwa taifa usishawishike kufanya vurugu, uhalifu katika nchi yako
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjadala wa maandamano ya Disemba 9 wajadiliwa hadi bar. Vijana kwa wazee waja juu

    Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025 Wakiwa kwenye...
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pendekezo Rahisi: Maneno 3 akiyasema Samia kesho yatazuia Maandamano yasiyo na Ukomo

    Na. M. M. Mwanakijiji Badala ya kuendelea kuleta siasa za kuzungusha maneno aliyetangazwa kuwa Rais baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na mauaji ya October 29 Bi. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kesho. Naamini kuna mambo matatu akiyazungumza yanaweza kutuliza...
Back
Top Bottom