Nawashangaa sana mnavyodai eti Watanganyika wamekataa maandamano na wanawaunga mkono nyie wauaji na mashetani.
Watanganyika kwa umoja wetu tulishatuma ujumbe Oktoba 29. Ujumbe wetu ulikuwa kupinga Uchaguzi haramu ulioendeshwa kwa Mchakato haramu, Ufisadi na kudai Mfumo Mpya wa Uchaguzi, Katiba...
Wakuu,
Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
Kila tarehe zinazopangwa kumbukeni mnatumia pesa za kujilinda ili msitoke madarakani.
Hapo hapo uchumi unasimama kwa muda kuogopa maandamano.
Hakuna balozi, kampuni wala serikali ambazo zitaweza kufanya kazi maana tarehe ikitolewa mnasimamisha kazi.
Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini wamewahakikishia wananchi kuwa wataendelea kulinda usalama wa Tanzania sambamba na maisha na mali za wananchi ili waweze kuendelea na shughuli zao kwa amani, utulivu na usalama.
Taarifa iliyotolewa...
Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo:
1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru.
2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM kufanya walitakalo tena bila kupingwa hivyo kuandamana ni sawa na kazi bure kikubwa ni ku-risk maisha...
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda
Kama mmekosa kazi za kufanya...
Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana.
Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation,
wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.
Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi
Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.
Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa...
Habari za muda huu watanzania wa mama Samia.
Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani.
Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano DSM na kuhakikisha hakuna anae leta uvunjifu wa amani.
Tatu vijana tuwe wazalendo tuepuke...
Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza.
Waambieni sisi tupo sana
Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya .
Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka.
Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura.
Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima.
Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato.
Tumefanikiwa kuiweka...
Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025.
Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake.
Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi.
Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.”
Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi
Kama mwizi anavyochoropoka...
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
Nimesikiliza mijadala ya Waandaji wa maandamanonya Gen Z katika Tiktok na X wanagombana sana wanalaumiana kwa kuleta ujuaji na Usaliti ndiyo maana maandamano leo yamedoda kuna master Plan wamekasirika wamewaachia vilaza ambao wameendesha maandamano yao katika mitandao ya kijamii katika no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.