maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kukubali maandamano kwao ni sawa wamekubali kuachia na kukubali ukweli na makosa

    Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari. Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa propaganda,mauwaji,utekaji. Hakuna mwanaCCM na fisadi wanaweza kukubari wabwage manyanga. Bila damu D9...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

    Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania D09 hakuna maandamano na internet itakuwapo

    Just believe me
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuachia miili ya watu waliouwawa, kweli Serikali yetu ina akili timamu?

    Viongozi wa dini na dunia ilisema serikali iachie miili ya watu ilio wauwa serikali ikajibu hatufuati maagizo ya viongozi wa dini wala nchi za nje. Wananchi pia wamesema sana wanataka wapendwa wao hawajapewa sasa hivi hawa watu wanaakili timamu kweli ? Watu wengine ni wakuwaonea huruma sana...
  5. Rungwe88

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya D9 yameshafanikiwa kwa 90%. Hata kama raia hawatatoka barabarani, lakini "Message Sent"

    Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!. Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa kama serikali haijaandaa "VIONGOZI WA MAANDAMANO". Gwajima au Polepole wangefaa sana. Hao ndiyo wana ushawishi pande zote

    Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii! Jibu ni kwa sababu ni rahisi ku-contain maandamano yenye viongozi kuliko yasiyo na viongozi. Leaderless demonstrations...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi kukifanyika mgomo wa kutokwenda kazini, kutoshiriki jambo lolote la kiserikali badala ya mbinu ya maandamano haitakuwa rahisi kweli kufikia lengo

    Badala ya watu kuandamana wakaamua kutojihusisha na jambo lolote la kiserikali ,wafanyakazi wa serikali mfano madaktari wagome kwenda hospitali kutibu, walimu wagome kwenda shule kufundisha , wahasibu , engineers, madereva ,nk wafanyakazi wote waweke mgomo wa kutokwenda kazini, Huku uraiani...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali waruhusu maandamano ya Dec 09,2025 na wayasimamie!!!

    Naiomba serikali yangu tukufu iyaruhusu maandamano ya Amani yanayotarajiwa kufanyika Dec 09,2025 kwa sababu wawaache watu watoe dukuduku lao kwa Amani. Naamini kama Polisi wetu wanaweza kutoa ulinzi siku hiyo hakutakuwa na uvunjifu wa Amani katika maandamano hayo. Kutokuyaruhusu maandamano...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Serikali isitishe utekaji. Gen-Z wasitishe maandamano. Wafiwa wakabidhiwe miili Desemba 9 iwe siku ya mazishi kitaifa

    Kupitia ukurasa wake Mtandao wa Facebook Asofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza TUMEISHAANDAMANA; GEN-Z TUPE NAFASI TUJUTE KWANZA. Leo tarehe 6 Desemba, ni siku yangu ya kuzaliwa. Sina furaha kama ninavyokuwaga na furaha katika siku hii. Hii ni kwa sababu moyo wangu unawaza maandamano yenye...
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano ya D9 njia zote

    Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano njia zote za kuingia maemeo ya Ibada ili kesho watu wasome matangazo
  12. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Nimekosea kuandika maelezo hapo, nimeandika maandamano, je inaweza kuniletea shida

    Mdogo wangu kaniomba pesa kidogo anunue matumizi kujiandaa na tarehe 9, Huwenda kukawa na Curfew. Nimemtumia Pesa kwa Njia ya Kibenki na maelezo hapo nimejisahau nimendika "MAANDAMANO" JE INAWEZA KUNILETEA SHIDA JAMANI?
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya marufuku ya maandamano ya D9 tutarajie nini? Nani wako interested kukaidi amri hiyo? Vipi mbinu?

    Habari ya Sabato! 1. Nimesikia tamko na marufuku iliyotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu maandamano yaliyopangwa huku mitandaoni na gen Z ambayo wameyaita D9. 2. Hoja za Jeshi la Polisi kwa kuyazuia zipo hoja kuu mbili nilizoziona. Hoja ya kwanza ni Hakuna barua yoyote ya kuomba uwepo wa hayo...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji

    Tetesi: Arusha Homa ya maandamano FFU wanapita kukusanya matairi kwenye biashara za watu wanaofanya biashara za gereji.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  17. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video : Joto la maandamano lazidi kupanda kanda ya ziwa

    Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana wa kanda ya ziwa wanasema aliyemuuwa Magufuli ndie aliyekua vijana October 29 kwa tamaa ya madaraka.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya 9 December 2025

    Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
Back
Top Bottom