mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,461
- 9,500
Nyuzi zimekua nyingi kuelekea D9, huku sisi wazalendo wa Tanganyika tukiwa tumetimiza wajibu wetu kikamilifu kwa kuzima ajenda za machawa kina Lucas Mwashambwa na Genge lao.
Sasa Siku yenyewe ni kesho . swali la kujiuliza hapa ni maisha baada ya D9 ikiwa maandamano hayatofanikiwa. Je ibilisi atajiinua zaidi nakuupoka uhuru wetu wa kutoa maoni na haki ya kuchagua viongozi tunaowataka milele??.
Au shetani na malaika wake watajivika ngozi ya kondoo na kuamua kula na vipofu?