maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
  2. JamiiForums Tanzania Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

    Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
  3. JamiiForums Tanzania Eti wadau, ule msalaba kwenye chupa Dompo huwa una maana gani??

    Eti wadau, ivi ule msalaba kwenye chupa ya dompo huwa una maana gani??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano kupongeza Royal tour ni upuuzi wa kisiasa utaloligharimu taifa letu. Ndio maana hatutoboi

    Kwa hiyo mnataka kusema rais akijenga madarasa mtaandamana? Rais akinunua ndege mtaandamana? Propaganda za kijinga kama hizi kwenye jamii ya leo ni upuuzi. What is Royal tour by the way mpaka muandamane?
  5. JamiiForums Tanzania Maana ya maneno ya waluguru wanapomaliza kuzika

    Kwa sasa hata kwa baadhi ya matambiko ya kiluguru kuna maneno ya kiluguru utayasikia yanasemwa, haya maana sana ila yanaonesha hali ilivyokuwa kipindi hiko. Kagone vigonele fungo Munu mkulu kagona kikunza Kwekuka wayago tokuja Hayo maneno utayasikia kwenye matambiko, siku za hivi karibuni...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbali na tarehe ya kuzaliwa, namba nyingine kwenye NIN zina maana gani?

    Habari Wakuu. Naomba msaada kwa anaefahamu format ya namba ya utambulisho NIN kwenye kitambulisho cha taifa anijulishe maana ya makundi mbalimbali ya namba ukiacha tarehe ya kuzaliwa. Sikuweza kupata maelezo mtandaoni.
  7. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuishauri Serikali juu ya energy security ila haikunielewa

    Mwaka 2020 nilishauri serikali juu ya energy security ila haikunielewa. Energy security ni muhimu sana kwa taifa lolote duniani maana huwezi jua ni wakati gani hali ya usalama wa dunia inaweza kuchafuka. Na ikichafuka tusidhani kwamba viongozi ndio tutapona, hapana wote tutaathirika. Kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama, ndio maana tunasema "Nani kama mama"

    Hapa ndio utajua anayejua baba wa mtoto ni mama na ndio maana tukasema nani km mama maana mama hazingiziwi mimba wala mtoto ila baba wengi wanalea watoto sio wao. Mgawanyo wa majukumu huo, Mmoja yupo kwajili ya pesa mwengine yupo kwajili ya mapenzi na shoo. Ukitaka uujue uchawi weka mashine ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe ndo maana Moyo wangu ulikuwa unasita kununua gari

    Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa . Hakika niliona Mbali. Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

    Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi! Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kutuma wanajeshi Msumbiji, maana kero za ugaidi lazima zishughulkiwe kote

    Hongera EAC, mpaka hapo tumeonyesha uongozi, wanajeshi wa Uganda, Rwanda na Kenya ila Tanzania na mdogo wake Burundi kimyaaaa, bora Burundi kidogo tumemskia kule Somalia mara moja moja.... Watanzania sijui uwoga wa nini kwenye haya mapambano, ukizingatia hayo magaidi hupata jeuri ya kuingia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  13. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kiwanja safi na totoz za maana Mwanza?

    Leo niko huku kanda ya ziwa Mwanza. Nitakuwa huku kwa siku tatu,kwa wenyeji wa Mwanza ni sehemu gani unaweza kupiga bia vizuri huku ukizungukwa na totoz nyingi za maana,nimezoea sana maisha ya Dar. Kwa mwenye ufahamu adondoshe comment. Karibuni.
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

    Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba wafike saiti waangalie.
  17. JamiiForums Tanzania Maana ya mafanikio

    Mafanikio ni dhana inayowachanganya wengi mno kuielewa na kuifafanua. Mara kadhaa nimekuwa nikiwauliza jamaa na marafiki ila wamekuwa wakinipa maana ambayo kwa kweli inaonesha mahitaji yao. Kuna mtu aliniambia mtu akiwa na gari zuri, mke n.k ndiyo mafanikio lakini ukiangalia kwa undani utabaini...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

    Anza mikakati ya kutafuta wagombea makini kwa ajili ya udiwani, ubunge na urais. Pia chaguzi za serikali za mitaa. Msisitizo ni kuwa hii ni wananchi kuikataa hii CCM ya wapiga madili hii ndio iwe hoja kuu. Wewe binafsi usigombee maana haukubaliki. Tafuta watu makini. 2025 ushindi upo wazi kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  20. JamiiForums Tanzania Mei 9 inawadia, Putin ana kipi cha kuwaambia Warusi maana ndio huwa siku ya Urusi kutunisha misuli kwenye maonesho

    Mei 9 hutumika kama maadhimisho ya kijeshi ya kusheherekea ushindi dhidi ya Hittler, na kawaida wanajeshi Warusi hufanya gwaride zao kwa mbwembwe na huonyesha zana zao za kivita kama mikwara kwa dunia. Pia Putin hutumia hiyo siku kueleza ushindi wa Urusi kwenye mapambano mbali mbali. Sasa huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…