maamuzi

  1. JamiiForums Tanzania Watalii wa kimarekani kuanza kumiminika Tanzania? Maamuzi ya Wizara ya Utalii tuliyoyabeza kuanza kuzaa matunda?

    Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa "Wajumbe" wa ngazi mbalimbali za maamuzi za CCM waongezeka

    Katika mchakato wa uchaguzi wa awali ndani ya CCM unaoendelea maeneo mbalimbali pameibuka msemo maarufu kuhusu wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika ngazi mbalimbali za kimaamuzi ndani ya CCM. Je, wajumbe ni kina nani haswa? Je,roho zao ndivyo zilivyo kama wanavyosemea? Weka neno moja tu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

    Hizi ni zama za teknolojia mambo yanapaswa kwenda kwa haraka. Mgombea urais wa JMT mh Benard Membe wa ACT Wazalendo leo amerejesha fomu zake baada ya kuzijaza na kudhaminiwa kwa mujibu wa katiba ya chama chake. Sasa anasubiri baraka za chama ili aweke hadharani vipaumbele vyake. Maendeleo...
  5. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dodoma katika maamuzi ya Urais wa Zanzibar (CCM)

    Katika mchakato wa kutafuta mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2000, Amani Karume, aliyekuja kuwa mgombea wa chama hicho na baadaye Rais wa Zanzibar, hakuwa mgombea aliyeungwa mkono na wengi visiwani humo. Kulikuwa na kundi kubwa zaidi lililokuwa likimuunga...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

    Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita! Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana...
  7. JamiiForums Tanzania Kuwa mtu mzima VS Maamuzi

    Kama kichwa kinachojieleza hapo, hivi ni kwanini wazazi wetu hasa wa kiume (namaanisha wakina baba) kadri wanavyokuwa wakubwa wanakuwa kama hawashauriki, hasa pale wanapopewa mawazo na watoto wao ambao wamekuwa wakubwa na wanaoa uhalisia wa maisha na changamoto. Wengi wao huhisi watoto...
  8. JamiiForums Tanzania CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

    ".... kwanza hana uhakika kama atashinda kura za maoni na inawezekana akashinda na bado nikamfuta, inategemea siku hiyo nimeamkaje..." Tusome katikati ya mstari... "inawezekana akashinda na bado nikamfuta" Mwenyekiti ana wagombea wake wa mfukoni, na wajumbe wa kura za maoni wasijisumbue.
  9. JamiiForums Tanzania Hivi CCM ni chama kikongwe kwa umri wake au kwa kufanya maamuzi yenye busara na hekima?

    Chama cha Mapinduzi(CCM) ni kikongwe barani Afrika kikifuatia chama ANC Cha Afrika Kusini kwa umri, Sasa cha ajabu chama Kikongwe kinakosa demokrasia hata ya kuruhusu watu kujitokeza na kugombea urais ili wanachama wafanye maamuzi, kama mtu amefanya vizuri kwanini asishindanishwe na ambao...
  10. JamiiForums Tanzania Kifahamu chumba kiitwacho Room 39 kipo Korea Kaskazini. Majasusi wote hatari hutoka humo Inasadikiwa kinaendeshwa na Kim Yo-jong dada yake Kim Jong-un

    Nilipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Choe Song ambae ni mtoto wa mtumishi wa serikali Chong Ryong-hae nae anafanya kazi ndani ya chumba hicho...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
  12. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huwa haiangalii mwisho wa maamuzi yake sijui kwanini

    Chama cha Democrasia na maendeleo kimeonyesha wazi kuwa hakifanyii kazi au tafiti maamuzi yake azi ifu ni chama kigeni hapa Tanzania, ni kama hakipendi kuumiza kichwa sina hakika huwa linakuwa wazo lamtu mmoja au vipi lakini siamini. Tujaribu kuliangalia swala la kulokudauni au kufunga miji na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Manyanya: CHADEMA ni waoga sana unapofika wakati wa kufanya maamuzi magumu bungeni

    Naibu waziri wa viwanda na biashara mh Stella Manyanya amesema Chadema wana mbwembwe tu za mitaani na mitandaoni lakini inapofika swala la kufanya maamuzi magumu bungeni wabunge wao hukimbia. Manyanya amesema Spika Ndugai anawafahamu vizuri wabunge hao wa Chadema na makandokando yao hivyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hizi zinaweza kuwa ni dalili za kuichoka na kutoipenda tena kazi aliyoomba na anaweza kuja na maamuzi magumu ya kutogembea tena nafasi hiyo ya juu

    Wakati wengi wakiamini kuwa Baba Mwenye Nyumba amekimbia makazi yake kutokana na hatari ya vile vijidudu,binafsi nimekuwa na mtazamo wa ziada kuwa mbali na hiyo kuweza kuwa ni moja ya sababu,lakini kitendo cha kukaa huko muda wote huu kwangu naanza kukiona kama ni dalili nyingine ya Baba huyu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Kikao cha kamati kuu ya Chadema kilichoongozwa na mwenyekiti wake mh Mbowe kwa njia ya mtandao kimefanya maamuzi magumu mno. Taarifa ya maamuzi hayo inategemewa kutolewa leo na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh. John J. Mnyika. ————— UPDATES ————— Akitolea maamuzi hayo, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
  16. JamiiForums Tanzania Ungekuwa kwenye nafasi hii, ungefanya maamuzi yapi?

    Hi guys, Mnawe kwa maji tiririka, mvae barakoa, mkunywe maji ya tangawizi na limao na mjifukize, narudia tena mpige nyungu..! (Msopenda thread ndefu sitotaka malalamiko, tafadhali beba tu huu ushauri na uende) Enwei, kuna mpendwa wangu mmoja alikuwa ana date this gentleman for so long, lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu soka nchini Ufaransa yafutwa kutokana na CoronaVirus. Maamuzi ya PSG kupewa Ubingwa au la kujulikana Mei

    Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020 Amesema kuwa michezo yote iwe inachezwa bila mashabiki au na mashabiki haitaweza kuendela nchini humo kabla ya Septemba...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

    Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19). Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

    Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba. Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…