maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Siasa zimepoteza wenye vipaji maalumu

    Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
  2. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Ofa hii ni maalumu kwa maafisa ubashiri tuu..

    Weekend ya Leo nahitaji unipe mechi ngumu mno kutabirika. Nami nintaitolea utabiri wake hapa hapa hadharani Kwaushahidi wa kila mtu. Tuma mechi hiyo kwenye comment chini👇👇👇👇👇
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kung'oa visiki kwa mashine maalumu

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu. Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  6. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  7. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu ya magari, ufundi, garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mbunge viti maalumu: Tangu 2020 Mpaka leo Tabora hospitali ya mkoa tunaambiwa hospitali inajengwa kwa awamu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika. Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kombe la Muungano na maelekezo maalumu

    Ni mawazo yangu kwamba kombe la muungano,lina maelekezo maalumu kwamba ni lazima timu za zanzibar zishinde kombe hilo.Hata leo mtaona yanga inatolewa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa vijana tuliozaliwa mwaka 1995 tu , karibu tujadili njia za kuingia Ikulu pamoja kuteketeza mifumo yote ya kitapeli na unyonyaji.

    Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa wewe haujazaliwa mwaka 1995 Ila unataka kushiriki kutoa mawazo yako unakaribishwa.
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupongeza Watu walioinua Wengine

    Ni jambo bora sana kuwapa maua yao watu waliowainua wengine iwe nikwakujua au kutokujua. Wale waliotazamwa kama njia kwa wengine, wale walio washika wwngine mkono wakafanikiwa . Kazi kwenu wakipita waone umuhimu wao naanza na wachache 1. Mkubwa Fela 2. Naseeb Abdul Diamond 3. Ruge Mutahaba 4...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Utani na watani wa Jadi

    Hapa ni pale ambapo mambo ya utani sio tu yataonekana bali yataonekana kutendeka. Watanzania wanatumia utani katika kufanikisha na kurahisisha maisha yao, kufikisha ujumbe mzito kule unakotakiwa ufike hata kama uwe mbaya, waaibu au wahatari kiasi gani. Uko utani wa makabila, kisiasa na michezo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  17. second9

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

    Part 1: Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu. Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania sheria ya kuwapa diaspora hadhi maalumu ilipita?

    Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka kuja kuwekeza.Nitashukuru nikipata malezo ya kina
  19. Mangi shangali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu kwa watu wanaopenda mazoezi

    Habari zenu, Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa ajili ya watu wapenda mazoezi wote. Hii kwetu sisi watanzania sio kawaida na ni kama tunadharau hili...
  20. vnn

    JamiiForums Tanzania Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

Back
Top Bottom