Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
Ndugu watanzania kupitia Uzi huu nitakuwa Kila siku Alfajiri ninatuma mstari maalumu wa maombi Kwa wale waombaji wa asubuhi. Ufunguapo Uzi huu kuanzia saa nane kamili usiku utakutana na maneno yatakayokuongoza na kuchochea nguvu ya maombi.
MSTARI WA KUSIMAMIA
Zaburi 90:14 "...
Ni maoni yangu tu sijui Kama liko kikatiba.
Ila inapendeza viongozi wa kitaifa kuwa na wenzi wao wanapokuwa ziara maalumu ya ndani na nje kitaifa.
Pia ikizingatiwa pia kwenye nchi Fulani walipitisha Hadi mafao ya wenzi wa viongozi wakubwa kwa sababu wanaacha shughuli zao ili wawe karibu nao...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile anawakaribisha Mabalozi wote wa mashina na wajumbe mkutano mkuu wa jimbo la Mufindi Kusini kwenye Mkutano Maalumu wa Jimbo utakaofanyika Jumamosi hii Oktoba 05, 2024 kwenye Viwanja vya Igowole Shule ya...
Hoja maalum ya kumwondoa ofisini Makamu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, imewasilishwa bungeni na Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi.
Kwa mujibu wa Spika wa Bunge Moses Wetangula, hoja hiyo imeafikia vigezo hitajika kulingana na kanuni za bunge la kitaifa nchini Kenya, ambapo ili...
Wadau hamjamboni nyote?
Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko Lebanon.
Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanoni mpaka jangwa la Misri...
Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu.
Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
Salaam wakuu.
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Majohe "KWA NGOZOMA"
Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi.
2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie )
3. Kwa mpalange...
Ndugu zangu watawala, hali ilivyo sasa katika Nchi yetu si nzuri sana kimahusiano.
Umoja,upendo na amani vinaweza kupotea kutokana na uzembe mdogo mdogo wa watu wachache.
Juzi katika harakati za kuzima maandamano ya CHADEMA askari polisi wametumia nguvu kubwa mno kana kwamba Nchi yetu imevamiwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete
Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia upande upi, kwa malengo gani na kwa Idadi ipi.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
US...
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
Naendelea kusisitiza tu hoja zangu
Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema
Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi
Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo.
Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri la shukrani na heri juu yao.
Mungu barikii wazazi wetu na uwalaze pema wazazi waliotutoka...
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu
Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko
Wadau hamjamboni?
Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
Wadau hamjamboni nyote?
Je umewahi pata majibu ya hovyo na kukatisha tamaa kutoka kwa shangazi yako/zako? Ulichukua hatua gani?
Karibu utupe uzoefu
Tahadhari usitaje jina Wala sehemu anayeishi shangaziyo
Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums.
lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu.
Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu.
Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.