Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical.
Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum.
Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa, jina/cheo kinachoonekana kuwa na hadhi ya juu nchini Tanzania.
Kilichonishangaza ni kuwa watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa...
Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025.
Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ;
1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
Maisha hayana formula kabisa
Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé
Msimu huu ni mchuano mkali kati ya janja machachari Lamine Yamal na Ousmane Dembélé
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika.
Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi
IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/****
Nawarudisha nyuma Kidogo
Tuna sababu za kuilinda nchi yetu,
Kuna viongozi ambao wamepewa dhamana na kulijua jeshi letu kwa ndani ...
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa.
Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu
Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.