Huduma ya kung'oa visiki kwa mashine maalumu

Huduma ya kung'oa visiki kwa mashine maalumu

Kadanga

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
100
Reaction score
58

Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.​

Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
1746619043457.png
 

Attachments

  • Screenshot_20250507-110251_1.jpg
    Screenshot_20250507-110251_1.jpg
    490.6 KB · Views: 42
Duh! Haya bhana mambo ya VETA. Haibaki mizizi kikaota tena?
 
Ww mgeni na hii kazi naona yan local kisiki ni 300 mpaka 500 kwa kisiki sasa nikulipe ww 2000 ya nn
 
Back
Top Bottom