Habari wana JF,
Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika.
Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa
Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble
Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu.
Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla.
Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi.
Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
Ndugu zangu,
Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa.
Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki.
Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli.
Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.
Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU.
Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii.
Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake?
Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
Na misingi ya kumbandua Gwajima uanachama wa CCM iko wazi kabisa kwamba kwa makusudi amekiuka ahadi zote za mwanachama, mila, destruri na utamaduni wa chama cha mapinduzi, mambo ambayo ni kinyume kabisa na ethics za chama.
Mathalani,
Josephat Gwajima amekosa adabu na nidhamu kwa chama na...
Katika chaguzi nyingi za kura za maoni ndani ya CCM, asilimia 60 hadi 80 ya walioshinda wamekuwa ni wale walioanza kampeni miaka 2 hadi 3 kabla ya mchakato kuruhusiwa rasmi na chama. Wamewekeza siyo tu muda, bali pia wamenunua ushawishi ndani ya mfumo wa chama kuanzia ngazi ya mashina hadi mkoa...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
Wakuu,
Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi?
Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia.
Basi sawa!
=============================
Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki?
Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao?
After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana .
Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi.
Akizungumza katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.