Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Nimezunguka Tanzania nzima sijawahi kuona mwanamke na mwanaume wasiojuana wakibebwa mshikaki na bodaboda. Hiki kitu unakikuta Dar pekee.
Nikiwa nimesimama, nikaona boda anapiga debe Ubungooo...Ubungooo huku akiwa amepakia abiria wa kike. Nikaamini kabisa labda anatafutwa abiria mwingine wa kike. Aaagh wapi, akaja jamaa akapanda nyuma ya yule dada boda likaondoka. Nikabaki kushangaa tu. Kumbe ndio utaratibu wao
Watu wa Dar es Salaama wana shida sana kwenye maadili