Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti sana kila kona sifa nyingi zinaenda kwa wanawake wengi wa kiislamu
We fuatilia ndoa nyingi sana...
WATUMISHI ZINGATIENI MAADILI, SERIKALI INAWAAMINI : ROMBO
Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha, Jacob Rombo amewasihi watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuzingatia maadili ya kutunza siri za Utumishi wa Umma kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo iliyowekwa na Serikali ili kufanikisha huduma...
"Wachana na kiherehere cha kutafuta umaarufu wa kijinga unaoweza kuyagharimu mapambano yako ya maisha. Hukuzaliwa ili kuwadhalilisha wengine kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii, uliletwa duniani kutimiza kusudi, si kuigiza maisha." — Alloyce, P.R.
Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja.
Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema
Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii.
Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria.
Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi.
Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
Katika dunia ya leo, ambapo wenye mamlaka hupuuza kanuni na kupata wanachotaka, mtu anaweza kujiuliza. Je, falsafa na maadili yana maana yoyote? Ikiwa ukweli haubadilishi matokeo, kwa nini basi kuushikilia?. Dhana ya “mwenye nguvu ana haki” ni moja ya kauli zinazopingwa mapema kabisa katika...
MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.
Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo...
Na Tauceti Rigel
Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi?
Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
arab culture
dalili
dini na unyanyasaji
haki
haki za watoto
kesi
kiarabu
kujali
maadili
madrasa
middle east
mwanzo
nchi
tamaduni na dini
uislamu
ukatili kwa watoto
ukatili wa kijinsia
ulawiti
unyama
unyanyasaji wa watoto
waarabu
watoto
zanzibar
Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni.
Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa…
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima na taadhima na upendo mkuu kwako ❤🇹🇿
Kuvujisha Siri ni utovu mkubwa wa maadili,na...
Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao.
ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
Tangu utoto wetu, tumekuwa tukielezwa kuwa elimu ni njia ya mafanikio. Tumefundishwa kuheshimu walimu, kufuata ratiba, kuvaa sare, na kusoma ili tufanye mitihani na kufaulu. Lakini swali moja haliepukiki kwa yeyote mwenye akili huru:
Je, mfumo wetu wa elimu unatuandaa kuwa watu wa maadili, au...
Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
Asalaam,
Hopefully wote mpo salama na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu nzito za ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania.
Well, This week niliona Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia kwa kitengo chake cha sekretarieti ya maadili ya...
Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi na ma kapuni na kupewa endorsement kubwa na serekali.
Leo hii namuona Zanzibar wamemuita aje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.