Tujikumbushe nahau na methali za lugha ya kisukuma

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na
bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine anatoa jibu. Naona kulingana na mabadiliko mbalimbali watoto wetu na uhakika kwa asilimia zote hawazijui hizi nahau na methali.
Sasa ndugu zangu wale ambao wanakumbuka hizi methali hebu tuzishushe hapa ikiwa Ni mojawapo ya kuikuza lugha yet.
Mfano wa hizo methali/ nahau
1. Tingi tingi mumbuga lugendo lo banamala
2. Kaja kazulile kushoka kazwalile lukaranga
Haya shusha methali yoyote unayoijua.
 
Back
Top Bottom