Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

Sasa kwani kuna kitu special na kiingereza? Si ni lugha tu kama Kimaasai, Kikikiyu au Kimeru? Sema mnajishuku kwasababu mmekomalia tu kwenye lugha moja ya kiswahili na hamtaki kabisa kujifunza lugha zingine. Ama labda uwezo wenu wa kung'amua vitu unawakwaza. Nyinyi wenyewe mashuleni mnafunza mkitumia kiingereza kutoka kidato cha kwanza hadi chuo kikuu.
 
Maelfu ya Watanzania wapo nje ya Africa wakifanya Maisha huko, Wachina na Wazungu na Wahindi maelfu kwa maelfu wanafika Tanzania na Kutoka kila siku,
Hawa wakija Tanzania wanahudumiwa kwa Kiluhya?
Are they complaining that they experience communication Challenges in Tanzania?
 
Wachina wanazungumza kichina lakini wanawa sainisha mikataba ya ajabu kinoma 😂😂😂
sema munatamani kuipata hio mikataba ila mbali na lugha, hata hio pesa yenyewe ya kulipia mkopo pia hamna. shithole country kabisa. LDC!
 
Nimeishi Kenya, Najua ninachokosema.

Wanatumia national ID kwa miaka mingi Sana sio zoezi lilionza juzi Kama sisi tunavyoliendeleza.
Ndo Maana hata East Africa community Kenya, Rwanda na Uganda unaweza kuvuka na national ID, Tanzania hatukuingia kwenye makubaliano hayo sababu hatukuwa na National ID.

Hao waliokwambia wakenya wameenda kujifunza NIDA walikudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu tena Kenya.
 
sema munatamani kuipata hio mikataba ila mbali na lugha, hata hio pesa yenyewe ya kulipia mkopo pia hamna. shithole country kabisa. LDC!
Wewe endelea na story za vijiweni, sisi tunasonga mbele huku nyie mlichobakiwa nacho ni chuki na wivu tu.
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...:D:DSGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
 
Maelfu ya Watanzania wapo nje ya Africa wakifanya Maisha huko, Wachina na Wazungu na Wahindi maelfu kwa maelfu wanafika Tanzania na Kutoka kila siku,
Hawa wakija Tanzania wanahudumiwa kwa Kiluhya?
Are they complaining that they experience communication Challenges in Tanzania?
Yes they are complaining.
 
you know what 'Sarcasm' means?
Ona mkenya mwenzako alivyoandika kitu cha maana,
Wewe endelea kuandika ujinga na unajua uchumi wenu unaenda wapi pamoja na mnachofanyiwa na wachina.

kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...:(:(:(sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.:(:(:( yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...:(:(:( kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
 
wewe mwenyewe umechoka.
Hao mid income wa kimungiki wamezidi aisee,usa wamefanya kitu cha maana sana kwa kuwapa msaada kile chakula cha nguruwe,si kwa hoe hae hiyo aisee!halafu hapo ndio nairobbery huko turkana mid income sijui wako kwenye hali gani 🤣
 
Back
Top Bottom