lugha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
  2. JamiiForums Tanzania Hoja: Bidhaa zote zinazosajiliwa Tanzania ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya Kiswahili

    Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili. Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili. Watumiaji wengi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

    Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa! Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya? Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu

    Tukumbushane maneno ya kizungu ambayo wabongo tunajifanya ni lugha yetu mfano; We "bitozi' tu Huyu jamaa ni "joblesi" "poa" "Kompyuta" Hayo maneno ya kwenye fungua na funga semi ni asili ya kizungu lakini tumejifanya kuyabisisha. Tuendelee.
  5. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

    Wakuu kwema? Sasa kila Mwajiriwa atatakiwa kuwa na TIN, hii itatumika kumtambulisha kama mlipa kodi pale anapokatwa PAYE kwenye Mshahara wake.
  6. JamiiForums Tanzania Kuunda uchumi mkubwa kunahitaji maarifa. Sasa leo jifunze kupata maarifa kutoka kwenye lugha yoyote ile

    Kama kichwa Cha habari hapo juu Kinavyojieleza hapo juu ni kwamba lugha imekua sio tatizo tena kwa mtu kujipatia maarifa kutoka kwenye vitabu na nakala mbalimbali. Sasa mm leo nimekuletea video mbili part 1 inayohusu jinsi ya kutafsiri hardcopy na part 2 inayohusu kutafsiri softcopy kwa Tshs...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma maandishi na vitabu vya lugha yoyote ile

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu, ni kwamba kutokana na maendeleo ya kiteknolojia swala la kujua lugha limekuwa sio tatizo tena kwa wewe kujipatia maarifa. Sasa mm Leo ningependa kushare na nyinyi habari hizi. Kwa kuwatumia video mbili ambazo ni part 1 inahusu kutafsiri hardcopy...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  9. JamiiForums Tanzania Derby: Wataalamu wa lugha tunaomba hili neno mtuwekee Kiswahili chake vizuri

    Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY. Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana kanakwamba watu wengi wanaliona kama ni neno la Kiswahili kumbe Kiingereza.Msaada kwa anaejua kuliweka...
  10. JamiiForums Tanzania Non Grammatical English speakers forum unamwaga vyovyote unavo jisikia kuhusu Lugha ya kiingereza hata kama utachanganya

    Sema chochote unavo jisikia kuhusu usanifu wa lugha ya kiingereza
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  12. JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania, eti; Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili? MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
  13. JamiiForums Tanzania Wauguzi na Wakunga watakiwa kuwasimamia watarajali waliopo mafunzo ya vitendo

    Wauguzi na Wakunga wametakiwa kuwasimamia wauguzi na wakunga watarajali (interns) waliopo mafunzoni kwa vitendo na kuhakikisha wanafundishwa vizuri ili kuweza kutoa huduma bora kwa wagonjwa. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM inatumia muda mwingi kumsafisha Gwajima lakini hasafishiki

    Nguvu kubwa inatumika kutisha na kuifananisha nchi na Libya lakini wapi. Kauli za zamani za Gwajima ndio zinamuhukumu, alitoa kauli za kashfa kwa waislamu na wakristu walio kinyume na imani yake. Mkutano wa CCM Kawe leo wananchi wapo kimya sana na umepoa sana. Nguvu kubwa inatumika kumsafisha...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Lugha rasmi kwenye kampeni ni Kiswahili

    Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10. Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language kwene Kampeni na mtu akitumia lugha zingine kama KABILA FULANI anakuwa amekiuka Maadili na anatakiwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

    Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi. Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu. Chanzo: Eatv habari Maendeleo...
  17. JamiiForums Tanzania ENGLISH TUTORIAL: Jifunze aina za sentensi na jinsi ya kuziunda kwa lugha ya kingereza

    ENGLISH TUTORIAL Mate, tatizo la kuelewa kuandika na kuongea na lugha ya kingereza ni suala mtumbuka. Wengi wetu hasa tuliopita shule za uswahilini bado lugha yetu haipo sawa. Hivyo basi ningependa kushea nanyi module hii japo kwa uchache. Nitazungumzia zaidi upande wa sentesi. NB. Ili...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kwanini CCM idai kuwa Tundu Lissu anatoa lugha ya uchochezi pale anapoihimiza Tume ya Uchaguzi iendeshe Uchaguzi ulio huru na wa haki?

    Nimemsikiliza mara nyingi sana tena kwa makini sana mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu, mara zote amekuwa akiisisitiza Tume ya uchaguzi nchini, iendeshe uchaguzi mkuu ujao, katika njia ya uwazi, Uhuru na Haki. Amezidi kusisitiza kuwa wanachowataka Tume hiyo ya uchaguzi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Botswana yapanga mipango ya kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Shuleni

    Botswana aims to introduce Swahili language in the southern African country's local schools, a senior official said Tuesday. At a language teaching workshop in Francistown, Botswana's second-largest city, Fidelis Molao, Botswana's Minister of Basic Education, said that Swahili language will be...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

    Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi. Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere. Yeye ni mwana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…