ludewa

Ludewa is a town and ward in Ludewa District of Njombe Region in Tanzania, East Africa. The town is the administrative seat for Ludewa District. As of the 2002 census, the ward had a population of 8,747.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    DC Victoria Mwanziva: Miaka Miwili ya Rais Samia imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa

    DC VICTORIA MWANZIVA - MIAKA MIWILI YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NDANI YA WILAYA YA LUDEWA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amesema; kwa hakika Miaka Miwili imekuwa ya Neema na Baraka tele kwa Wana-Ludewa, kwani Rais Samia amekuwa akiitazama Wilaya kwa jicho la upekee sana...
  2. BARD AI

    Nyama ya nguruwe (Kitimoto) yapigwa marufuku tena Ludewa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe yapiga marufuku uingizwaji wa Nguruwe na matumizi ya mazao yatokanayo na nguruwe wilayani humo. Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi 15, 2023 Daktari wa mifugo wilayani humo Festo Mkomba amesema zuio hilo limekuja baada ya kubainika kwa uwepo...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa aongoza zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata

    Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
  4. Stephano Mgendanyi

    Ziara tarafa ya Liganga, kata ya Lugarawa - kijiji cha Mdilidili - shule ya sekondari Lugarawa, Ludewa

    ZIARA TARAFA YA LIGANGA, KATA YA LUGARAWA- KIJIJI CHA MDILIDILI- SHULE YA SEKONDARI LUGARAWA. Februari 23, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya walifanya kikao na wananchi wa Kata ya Lugarawa juu ya majanga ya moto yaliyo tokea...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Charles Mwanziva awasili Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Charles Mwanziva tarehe 30 Januari 2023 amewasili rasmi Ludewa. Victoria Charles Mwanziva alipokelewa kwa kishindo na Viongozi, Skauti wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile na Wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Ludewa. Aidha, Mhe Victoria Charles Mwanziva...
  6. Stephano Mgendanyi

    Hafla ya uapisho wa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Charles Mwanziva

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Charles Mwanziva amekula kiapo cha uongozi kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka leo tarehe 30 Januari, 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe. Mhe. Victoria Charles Mwanziva aliteuliwa na Rais wa...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  8. B

    Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Ludewa

    OFISI YA MBUNGE JIMBO LA LUDEWA Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ludewa - Joseph Kamonga

    Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) walio fanya ziara ya kikazi ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Milioni 200 zajenga madarasa Ludewa, kamati ya siasa yapita kukagua

    MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefanya ziara ya kukagua vyumba 10 vya madarasa katika sekondari...
  11. B

    Rais Samia amwaga mabilioni ya fedha za ruzuku ya maendeleo jimboni Ludewa- Njombe

    RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
  12. B

    Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  13. B

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Ludewa, Joseph Kamonga jimboni kwake

    RATIBA YA ZIARA YA MBUNGE WA LUDEWA MHE. JOSEPH KAMONGA JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe Joseph Kamonga atakuwa na ziara ya Wiki 1 kwenye Kata 7 Jimboni kwake Ludewa kuanzia Ijumaa hii Agosti 12, 2022 hadi Alhamisi Wiki ijayo Agosti 18, 2022. Itakuwa ni ziara ya kutoa...
  14. Izzi

    Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
Back
Top Bottom