Hotel au Lodge nzuri maeno ya Ukonga, Gongo la Mboto hadi Pugu

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,542
12,404
Habari za humu Jumba la Melo!

Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.

Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza kupumzika na kufanya tafakari chache ktk kipindi anbacho atakuwepo hapa mjini kwa siku 3 hv.

Bajeti ya hotel au lodge ni 30k-70k
naonba msaada kwa mwenye uelewa wa sehemu hizo za accommodation.

Naamini JF ni jungu kuu lenye watu kila eneo hivyo tutapata assistance. Ukifanikisha jina, sifa na namba ya simu itakuwa poa sana.

Nawasilsha!
Twilumba hapa, Mwenyeji wa mgeni kutoka Kusini
 
Hoteri Shemsh's iliyopo Gongolamboto mzambarauni! Aende na condoms za kutosha!
 
Habari za humu Jumba la Melo!

Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.

Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza kupumzika na kufanya tafakari chache ktk kipindi anbacho atakuwepo hapa mjini kwa siku 3 hv.

Bajeti ya hotel au lodge ni 30k-70k
naonba msaada kwa mwenye uelewa wa sehemu hizo za accommodation.

Naamini JF ni jungu kuu lenye watu kila eneo hivyo tutapata assistance. Ukifanikisha jina, sifa na namba ya simu itakuwa poa sana.

Nawasilsha!
Twilumba hapa, Mwenyeji wa mgeni kutoka Kusini
Case T ana lodge zake anaziita Angwisa, hebu check ya pale Mombasa makaburini kuingia ndani na nyingine iko Pugu, ila ukiweza kurudi nyuma kidogo option ni FQ hotel pale Stakishari.
 
Kwa maeneo ya karibu na Gongolamboto hizi ndo Hotel nzuri kwa mpangilio ufuatao:
Mkamiti villa (Airport), Jakicha motel, Namarts Hotel, Naam Suite Motel
 
Kama unahitaji nyumba ya wageni Ebu jaribu kuangalia Mzambarauni Karibu na FFU ,utapata lodge nzuri PALE ambazo watu makini hasa wafanyakazi Wa serikalini.
 
Back
Top Bottom