Inaitwa Kifaru Mkubwa LodgeMkuu kuna loge iko darajani Kama unatokea ubungo upande wa kushoto iko manzense darajani iko POA Sana iko ndani kidogo kutoka barabarani nikija dar Mara nyingi napenda kulala hapo jina silijui vizur bt ni pazuri room elfu 20 pasafi alafu pametulia sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ataujutia kuna haja gani aje kujutia!njoo apa erado natron ipo tip top utajutia kamwe
Yes uko sahihi kbsa Tena akampe TU 15 analala mpaka asubui na burudani juuAcha ushamba. 25 zote hizo ukawape watu?
Nenda pale kwa wahaya, mpe mmoja ten thou, utalala kwake na mzigo juu.
njoo apa erado natron ipo tip top utajutia kamwe
Atajutia tena?njoo apa erado natron ipo tip top utajutia kamwe
Hiyo uliyoitaja unapata chumba self contained hata ukipendelea ghorofani.Bei ya chumba