lockdown

A lockdown is an emergency protocol that usually prevents people or information from leaving an area. The protocol can usually only be initiated by someone in a position of authority. Lockdowns can also be used to protect people inside a facility or, for example, a computing system, from a threat or other external event. Of buildings, a drill lockdown usually means that doors leading outside are locked such that no person may enter or exit. A full lockdown usually means that people must stay where they are and may not enter or exit a building or rooms within said building. If people are in a hallway, they should go to the nearest safe, enclosed room.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Mji Mkuu wa Namibia, Windhoek wawekwa Lockdown kwa wiki mbili

    Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19 Mbali na hayo, mauzo ya pombe nayo yamedhibitiwa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi ambapo zitauzwa kwa mfumo wa 'take-away'. Viongozi...
  2. eliakeem

    JamiiForums Tanzania Sweden Hakuna cha Lockdown wala Barakoa: Lakini Hamna Hata Mmoja Anaye Wanyoshea Kidole

    Siyo WHO wala vyombo vya habari vya kimagharibi ambavyo vinawanyooshea kidole Sweden kwa hatua yake ya kupambana na uviko-19. Sweden imeamua kuto funga nchi, pia kutoshurutisha watu wake kuvaa barakoa. Lakini ajabu ya mtende siyo Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus wala BBC ambaye hata amediriki...
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza shule leo baada ya lockdown ya COVID-19

    May 10, 2021 Education Ministry Cabinet Secretary Prof. George Magoha has maintained that schools shall reopen on May 10, 2021 as earlier planned. The CS dispelled rumours that opening dates for primary and secondary schools may change over the third wave of coronavirus that has struck Kenya...
  4. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaondoa marufuku ya watu kutoka nje ‘Lockdown’

    Katika kusheherekea siku ya wafanyakazi duniani, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuondoa zuio la watu kutotoka nje katika kaunti tano nchini humo kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona. Katika taarifa yake rais Kenyatta amesema wakati alipotoa agizo la pili kwa umma mnamo Machi...
  5. babu M

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson ‘said he would rather see bodies piled high’ than impose third lockdown, reports claim

    Boris Johnson said he would rather see “bodies piled high in their thousands” than order a third lockdown, it has been claimed. The Prime Minister’s alleged remark came after he reluctantly accepted a second lockdown last autumn, the Daily Mail reports. Downing Street strongly denied the...
  6. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za Sekondari Kenya walala uwanjani lockdown ya Corona

    Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho. Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe wa mwaka 2021 amkana Mbowe wa mwaka 2020 kuhusu lockdown

    Ndugu zangu, Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo. Teknolojia hatari sana
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua. Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo. ====== The idea that Covid variants can be stopped...
  10. Mac Bully 001

    JamiiForums Tanzania US Capitol attack

    There's been a security incident outside the capitol, one policeman is receiving treatment, while one officer succumbed to injuries. The suspect too, was neutralized on sight after he lunged at the officer with a knife immediately after breaching the barricades which were erected. Area under...
  11. Shadow7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ondoeni lockdown tuna kodi za kulipa, njaa ni janga pia

    Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona. Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano...
  12. Mac Bully 001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru Kenyatta orders new lockdown to battle COVID-19 infections wave

    Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na ongezeko la maambukizi haya tata. Sehemu za kuabudu, shule(isipokuwa wale wanaofanya mtihani wa mwisho...
  13. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Lockdown ina ukweli kiasi gani?

    Mbona wenye lockdown bado wanafanya shughuli kama kawa? Marekani tokea corona ianze hawajaacha kutengeneza filamu, na filamu zina watu zaidi ya 100 on set. Hawakuacha kufanya kampeni, japo midahalo ilikua na virtual attendees lakini mikutano watu walikua wanajaa tena wengine bila barakoa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Rais amekwishasema "tuendelee kuchukua tahadhari lakini hakuna lockdown" Wizara ya afya mmesubiri nini kuhamasisha watu kuchukua tahadhari

    Bado naendelea kuwashangaa wizara ya afya, kiongozi wetu mkuu kila mara anasisitiza tuendelee kuchukua tahadhari. Mara ya mwisho nimemsikia raisi wetu tarehe 19.02.2021 akirudia msemo huu, sasa sijui mnasubiri raisi ndiye afafanue tahadhari anazozisema ni zipi? Rais ameendelea kusema mwaka...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tuko kati ya janga,tuwe na moyo wa kishujaa. Hakuna kuhitaji lockdown tuchukue tahadhali kitalaamu

    Direct kwenye mada; Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi. Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na muathirika nao wamepata maambukizi. Kujitenga kufanyike kwa umakini hata kwenye majumba ya watu...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya lockdown yatakua kama safina ya Nuhu ilipopata habari njema baada ya gharika.

  17. Magazetini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo. PIA SOMA = > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
  18. Mtu Mzima

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa mpya wa Kisayansi uliochapishwa jana wathibitisha Rais Magufuli alikuwa sahihi kutoweka katazo la kutoka nje "lockdown"

    Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona. Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Peru: Watu 13 wauawa katika rabsha za kusisitiza ‘lockdown’

    Watu 13 wameripotiwa kufariki na wengine watatu kujeruhiwa nchini Peru. Watu hao walionekana kukiuka sheria ya kubaki ndani na polisi walitaka kuwakamata Watu zaidi ya 120 walikuwa katika kusherehekea katika kilabu kimoja kinyume cha sheria. Peru imeweka suala la kuwekeana umbali kati ya mtu...
Back
Top Bottom