live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe Makavu live sessions

    Tujikumbukushe Mwakyembe alipokua anawapa Ngumbaru wenzetu makavu live kuhusu elimu yake ya PhD bila kupindisha. Dkt. tutakukumbuka daima
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania We live only once and life is passing moment.

    Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

    Mchezo huu ni wa Nusu Fainali ya pili baina ya timu hizo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, unapigwa Nchini Afrika Kusini baada ya awali kumalizika kwa suluhu ya 0-0 Nchini Morocco. Mchezo umeanza 20' Mamelodi Sundowns wanafanya mashambulizi kadhaa, wageni nao wanajibu lakini bado hakuna umakini...
  4. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

    Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali Mchezo ni saa 4 usiku (EAT) Vikosi kwa timu zote mbili
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

    Mechi imeanza hapa muhamed 05 huku Wydad wakizidisha zaidi mashambulizi
  6. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0 - 2 Yanga S.C | NBC Premier League | Liti Stadium| 04.05.2023

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC.. Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1 Je nani ataibuka mshindi? 00" Mpira umeanza 03" Mzize anapiga shuti...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LIVE: Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA 2022/23)

    Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu • Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

    Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 5 leo April 12, 2023

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

    Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku Kikosi cha Young Africans 👇👇👇 ▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa ▪️0' Mpira unaanza ▪️03' Mayele...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia sauti za watu wakifanya mapenzi live?

    Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa ambae ni mkubwa kwangu alileta demu, Mimi ikabidi nijifanye nimelala usingizi ili nisiwaharibie watu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri. Ya CAG nani hajayasikia?
  13. Oranoo

    JamiiForums Tanzania Live chat na pisi kali

    Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watani zangu Wahaya leo Mtani wenu Mzanaki nawachana 'Live' ili mbadilike kwani tumeshawachoka

    1. UKIMWI umeanzia kwenu Kagera 2. Ajali za Kuua kwa Jumla Jumla ( Watu wengi za Meli ) kama ile ya MV Bukoba imeanzia kwenu Kagera 3. Tetemeko Kubwa la Ardhi nchini Tanzania limeanzia kwenu Kagera 4. Ajali mbaya ya Ndege ( hii ya Majuzi ya Precision Air ) ni ya Pili Kihistoria bado imetokea...
  15. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Kumbe Fatma Karume mkali hivi! Amchenjia mtangazaji wa Clouds FM live redioni

    Wakili mzoefu, Fatma Karume almaarufu shangazi leo amemtuhumu mtangazaji wa kipindi cha michezo cha Clouds FM, Prisca Kishamba kuwa ni muongo na yeye hamna kitu hapendi kama watu wanaofanya 'Assumption'. Fatma alitengeneza swali na kumtaka mtangazaji amuulize upya kama alivyosema baada ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: CCM ni Majizi

    Haipo tena haja ya kumung'unya maneno: Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe. Wizi wao ni wapi usikoonekana? Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration? Wapi penye unafuu?
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kukatisha matangazo Mubashara ITV dhidi ya mkutano wa ACT Zakhiem

    Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi. Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar ambape pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alipoelezea umma...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign - Sheria ya Ardhi ni ya Mwaka 1999 na Sio 1995

    Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, Wanasheria hawa, ndio waliotufikisha hapa!, jee tuendelee kuvumilia hizi slips of a tongue kwa wanasheria wetu manguli wabobezi na...
Back
Top Bottom