LIVE: Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA 2022/23)

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili.

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Muziki na Dansi (Best Male Dancer of the Year) ni @chino_kidd7 kutoka Bad Nation

Kutoka Rato Nation, ARUSHA is On Top kwa mara nyingine tena @dipper_rato ameibuka kinara wa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Dancehall
 
Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili.

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Muziki na Dansi (Best Male Dancer of the Year) ni @chino_kidd7 kutoka Bad Nation
Tuzo zipo kilocal sana eti wanahoji watu upuuzi mtupu mavazi ya hovyo watu wanakuja na sare za simba na yanga kwenye tuzo

USSR
 
Back
Top Bottom