live

Live! Live! Live! is a live album released by Bryan Adams through A&M Records in 1988. It was recorded live at the Rock Werchter festival on 3 July 1988 in Werchter, Belgium. One track, "Into the Fire", was recorded live in Tokyo. The album sold over 1 million copies.
The concert was taped while it "rained in torrents". At the end of It's Only Love, Adams comments to the audience, "I've got to tell you something. For you people to sit out in the rain, means you're one hell of an audience. I mean, to sit out in this..."

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live Bunge TV: Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo

    Wanabodi Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja. Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi Waziri Mkuu...
  2. Scars

    JamiiForums Tanzania Full Time: AFL: Al Ahly 0-0 Mamelodi Sundowns (Agg 0-1) | Cairo International Stadium | 01.11.2023 |

    Baada ya 1st leg kumalizika kwa Mamelody kuibuka na ushindi wa bao 1-0 leo ni mchezo wa pili wa marudiano. Mechi inayarajiwa kuwa ngumu kwa dakika zote. Muda wa mechi ni 21:00 Kikosi cha Al Ahly Kikosi cha Mamelodi Mchezo una kasi, Al Ahly wanapambana kutafuta goli la kusawazisha kwa kuwa...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Zambia, leo Oktoba 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Bunge la Jamhuri ya Zambia leo tarehe 25 Oktoba, 2023. Bunge la Zambia limesitisha kwa muda shughuli zake ili kumpokea Rais Samia ambaye atahutubia Bunge hilo...
  4. Scars

    JamiiForums Tanzania FT | AFL: Mamelodi Sundowns 0 - 0 Petro De Luanda(Agg 2-0) | 24.10.2023. Mamelodi Sundowns watinga nusu fainali

    Baada ya kushuhudia mechi tamu kutoka kwa Al Ahly akimkaribisha mpinzani wake na mshindani wake wa siku zote Simba Mechi ambayo imetamatika kwa sare ya bao 1-1 na kumfanya Al Ahly avuke kwenda nusu fainali kwa faida ya bao la ugenini aliyopata kwenye mchezo wa kwanza wa ufunguzi hapa Tanzania...
  5. Scars

    JamiiForums Tanzania AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

    Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL) Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya...
  6. President of China

    JamiiForums Tanzania Kikao cha 77 cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Oktoba 20, 2023

    Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

    Kuanzia saa 1 jioni, hawa wanapambana.
  8. uran

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

    Game On Dakika ya 23. Dodoma Jiji 0 - 0 Azam
  9. R

    JamiiForums Tanzania Live kutoka kuzimu!

    INTRODUCTION. Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa. MBINGUNI ni makazi ya Walio hai. KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu. Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live on TBC: Revo wa TIC Azungumzia Uzinduzi wa Kituo cha Pamoja, TeIW Utakaofanywa na Waziri Mkuu Majaliwa 25 Sept. Mlimani City

    Watch TBC live ! https://www.youtube.com/live/WG68iDTH28I?si=g2NmH5hKoui5ZSRX Anayezungumza ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wawekezaji wa TIC, Bw. Revocatus Arbogast Rasheli. Kwa vile sio wote wenye access na TBC saa hizi, nitawaletea kwa uchache yale ya muhimu aliyozungumza. Mkurugenzi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

    Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza. Singida Big Stars inayojulikana pia kwa jina la Singida Fountain Gate inarusha Karata yake mbele ya Future FC ya Egypt ikiwa Kiwanja chake cha Nyumbani. Itavuna nini ni Jambo La Kusubiri. Kila la heri SBS. Mpira unaendelea..
  12. L

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Mkutano wa Rais Samia, Tandahimba

    Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba Picha inaongea mengi Sana hii
  13. Scars

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

    Mshindi wa Ligi ya mabingwa pamoja na Mshindi wa kombe la shirikisho leo wanakutana kucheza fainali Mpira ni saa 21:00 yani umeanza dakika tatu zilizopita. Tutakuwa pamoja hapa kujuzana yatayojiri.
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

    Hapa jana kwenye chakula cha jioni: Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
  16. Scars

    JamiiForums Tanzania African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

    Leo majira ya saa 12:30 kwa saa za hapo Afrika mashariki na kati CAF watatoa draw ya makundi kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFL. Ikumbukwe kuwa Simba ndio mwakilishi pekee wa michuano hii kwa hapa Tanzania. Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano...
  17. Beberu

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FF 3 Vs Tanzania Prisons 1 (28/08/2023) Azam Complex Stadium

    Game hio inachezwa leo pale Chamazi, mashabiki wa Azam karibuni kwa updates Kikosi cha team bora Azam FC. 0' match imeanza hapa chamazi 11' Dubeeeeeeee, Azam wanapata uongozi mapema hapa 35' Azam wanautawala mchezo leo, ila matokeo bado ni 1-0, 47'Goooooool Nado anatupa bao la pili Azam...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Live: Operesheni +255 - Katiba Mpya na Kuokoa Bandari Zetu huko Didia, Jimbo la Msalala

    https://youtu.be/X9GIuklmkK0 =
  19. Beberu

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Dar kenema (Agg. 3-3) Pnt (3-4), CAFCC, Chamazi complex, 25.08.2023, Azam waaga mashindano

    Match hii itachezwa leo saa 1 jioni kwa saa za africa mashiriki au 1600 hrs GMT kati ya Azam Fc Vs Bahir Dar Kenema, katika kusaka nafasi ya kufuzu hatua ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Africa maarafu CAFCC, Watanzania wote wanaiombea Azam ishinde na kuzidi kuipeperusha vyema bendera...
  20. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Natafuta waimbaji wa live band katika baa yangu mkoani DSM

    NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji au karaoke. Malipo ni kwa makubaliano maalum kila weekend Kwa kuanza sihitaji Band au Msanii mkubwa/Maarufu kwa sababu ndo naanza. Hivyo...
Back
Top Bottom