lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    Kutokutiwa nguvuni Tundu Lissu kesho 27/7/2020 ni kutangaza uasi juu ya Sheria za Nchi yetu

    Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
  2. S

    GE2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

    Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
  3. MAHANJU

    GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  4. B

    GE2020 Magufuli Vs Bernard Membe Vs Tundu Lissu. Huu uchaguzi sijui utakuwaje

    Najaribu kufikiria itakuwaje maana CCM walionyesha kumpitisha kwa 100% hili wanalijua wenyewe walicho kifanya mpaka apite kwa 100% hata watu wa Lindi Wajumbe wanaoishi katika Jimbo alilotoka Membe nao walimpitisha kwa 100% tunaelewa maana yake hii tunaita kwa kingereza Flatering, majibu yao...
  5. S

    Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  6. Subira the princess

    Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

    Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari polisi walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana. Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani. Muda ni rafiki...
  7. S

    Kama watu walikusanyika uwanja wa ndege kupokea ndege na halikuwa kosa, kwanini kumpokea Lissu uwanja wa ndege ndio iwe nongwa?

    Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili? Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao? Ndio maana kila...
  8. Mystery

    Kwa haya matukio mfululizo kumhusu Tundu Lissu, bado wananchi tushindwe kutengua kitendawili ya nani alihusika na kumpiga risasi mjini Dodoma?

    Tundu Lissu ni mzalendo wa Tanzania, ambaye takribani miaka 3 iliyopita, baadhi ya wananchi ambao Polisi wameendelea kutuaminisha watanzania kama ni "watu wasiojulikana" walihusika na tukio baya kabisa lililofanywa na watu hao la kutaka kumwua Tundu Lissu, kwa kumminia risasi mfululizo kwenye...
  9. S

    Nchi iko katika maombolezo, huku soka, harusi, sherehe na burudani zinaendelea, sasa kwanini kumpokea Lissu ndio iwe tatizo?

    Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo? Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana? Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
  10. Nyani Ngabu

    Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

    Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji. Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’. Kama hujui maana ya ‘woke’...
  11. M

    Ushauri wangu kwa wapambe wa Lissu

    Ni kweli mapokezi ya Tundu Lissu ya tarehe 27/7 tayari yameharibika na Kuna zuio la mikusanyiko kwa barua inayo zunguka mitandaoni. Nashauri wapambe wa Lissu waandae utaratibu utakao mfanya Lissu ashiriki kwenye hatua zote za kuaga na kumzika rais wetu mstaafu kuanzia Dar hadi mtwara,waandae...
  12. Analogia Malenga

    Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  13. Richard

    Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

    Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA. Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao. Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa Uhamiaji na Usalama. 1. Mgeni huyu...
  14. Sky Eclat

    Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

  15. G Sam

    Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Safari ya Tundu Lissu imeanza rasmi ambapo ameagana rasmi na watanzania waishio Ubelgiji leo tarehe 25 Julai 2020. Lissu anatatajia kutua nchini Jumatatu mchana ambapo safari ya awamu ya kwanza inatarajia kumchukua kati ya masaa 8 hadi 11 angani. Tuendelee kumuombea awasili salama Picha: Tundu...
  16. Dam55

    CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  17. S

    Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

    Nilimuuliza haugopi?akajibu siogopi!Nikamwambia,wanaweza kukupiga risasi tena au ukafungwa kwa hila,akajibu NIKO TIYARI kwa lolote.Mungu ni mwema,Kamanda Tundu Lissu kurudi nyumbani kwa mapambano tena ni muujiza wa Mungu mwenyewe.Nitakuwepo Dar es Salam kumpokea siku ya jumatatu-Godbless Lema on...
  18. K

    GE2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais. Ukweli ni kwamba kati ya watu 8...
  19. J

    GE2020 Lissu endapo CHADEMA wakikuzingua tu ingia Act Wazalendo

    Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu...
Back
Top Bottom