lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    GE2020 CHADEMA bila polisi ni wepesi kama pamba, Lissu anaomba hata leo akamatwe lakini wapi

    CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu. Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima...
  2. Mzalendo2015

    GE2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

    Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais. Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera alichowafanyia Rais Magufuli baada ya janga la tetemeko la Ardhi alipobadili matumizi ya Fedha za Rambirambi...
  3. MAHANJU

    CCM kumuita Lissu kibaraka wa mabeberu haitusaidii. Watanzania ni waelewa sana

    CCM let's be matured, hii propaganda ya kumuita Tundu Lissu kibaraka wa mabeberu imebumba tutafute neno lingine zuri la kummaliza. Kutumia hili neno hakujabadili kitu kabisa mtaani kila ninapopita sioni sehemu yeyote akiitwa Bebebru zaidi ya kuitwa Mkombozi, mimi sijui ni mkombozi wa nini...
  4. D

    GE2020 Tundu Lissu atikisa ndani ya Wilaya mpya ya Nyehunge

    Wapo wanaodai kuwa Tundu Lissu anafanya mkutano mjini tu. Hapa ni wilaya mpya ya Nyehunge jimbo la Buchosa na Lissu anatikisa kila kona. Tukutane baadaye Geita mjini
  5. Roving Journalist

    GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  6. The Palm Tree

    GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  7. P

    GE2020 Tuungane Kumwombea Tundu Lissu ili ashinde Uchaguzi hapo Oktoba 28

    Karata nyingine ya ushindi kwetu ni kuungana na kuomba ili mpenda haki na amani, mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aweze kushinda kwa kishindo hapo Oktoba 28. Huu ni wito kwa watakatifu wote, wapenda haki, wapenda amani, wapenda usawa, na wapenda kweli kuungana na kumwombea Lissu...
  8. C

    GE2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda. Lowassa: Mimi...
  9. Masokotz

    GE2020 Tafakari ya Kina: Tundu Lissu akifuta kodi ataendeshaje nchi?

    Naendelea na mada zangu za Kumuunga mkono Ndugu Tundu Antipasi Mughai Lissu kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali kwa sababu namuelewa. Ili kuweka kumbukumbu sawa mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala CCM na wala mimi siamini katika ITIKADI za chama cha CHADEMA. Tofauti yangu...
  10. Masokotz

    GE2020 Tundu Lissu ni toleo jipya la Magufuli with all bugs fixed, mpeni kura zenu

    Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli? Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba Ulipofika wakati wa kuhesabiwa nilisimama na kuhesabiwa. Mimi sio Mwanachama wa chama cha CHADEMA na hii...
  11. M

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu. Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda. Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli...
  12. R

    GE2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu. Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
  13. Sky Eclat

    GE2020 Kuelekea Oktoba 28, 2020: Tundu Lissu atalisomba kundi la wasio na maamuzi kwa kishindo

    Kwa mashambulizi haya ya Tundu Lissu kila siku anabomoa ngome ya mpinzani wake kwa matofali kadhaa. Kuna wale CCM damu na Chadema damu, hawa hata iweje kura zao hazibadiliki. Kuna lile kundi linalokata shauri dakika za mwisho. Mara nyingi hawa ni watu wenye shughuli zao, wasomi, wakulima na...
  14. D

    GE2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

    Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea! Video: Katoro Geita
  15. S

    Watumishi wa umma ipo siku mtakumbuka maneno ya Lissu kuhusu kikokotoo

    Katika mkutano mmoja wa kampeni hivi karibuni, Lissu alionya juu ya sheria ya kikokotoo ambayo kwa sasa imewekwa pending mpaka 2021, sheria ambayo kwa mujibu wa Lissu itafyeka nusu ya mafao ambavyo mstaafu anastahili kulipwa. Lissu kawaonya Polisi na watumishi wengine wa umma ambao kwa nafasi...
  16. S

    GE2020 Kama ahadi za Magufuli wakati wa kampeni si rushwa na anazitoa kama Rais, Lissu anapaswa kuwaambia walioahidiwa atazitekeleza zote akiwa Rais

    Nashangaa kwanini watu wanaumiza kichwa juu ya ahadi za Raisi Magufuli wakati wa ziara zake za kampeni kuwa ni rushwa au la. Labda kwanza nikubaliane na Rais Magufuli kwamba ni kweli yeye bado ndio wa raisi wa Tanzania, na ana haki ya kutoa hizo ahadi kama raisi - ingawa ni jambo la kushangaza...
  17. F

    GE2020 Ndani ya mwezi mmoja tu Tundu Lissu ameweza kufanya aliyoshindwa Magufuli kwa miaka mitano

    Tunajua kwamba hata Magufuli anaposema "Nitajenga barabara" haimaanishi kwamba yeye ndiye mwenye hela au kwamba atakuwa saiti akijenga. Anatumia vyombo vilivyopo kujenga barabara n.k. Tundu Lissu amefanikiwa kwa ushawishi wake na umahiri mkubwa wa kujenga hoja zinazowafanya waliopo madarakani...
  18. Jaji Mfawidhi

    GE2020 Askofu Emmaus Mwamakula: OCD Bukoba na RPC Kagera, Tundu Lissu yuko salama kwa kiasi gani?

    Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA.... TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI? Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu. Tarehe 23 Septemba 2020, Msafara wa Tundu Lissu uliwasili...
  19. RUSTEM PASHA

    GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  20. M-mbabe

    GE2020 Ukiondoa Wana - CHADEMA na wafuasi wake mwenyewe, Tundu Lissu atapata kura nyingine nyingi kutoka kwa hawa

    Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake kadhaa. Hii imepelekea makundi mbalimbali katika jamii ya Watanzania kunufaika kwa namna moja ama...
Back
Top Bottom