lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI siyo vibaya kama mtasema ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itatoka

    Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
  2. battle2

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania lini utanifanya nitabasamu?

    Tanzania nchi yangu nakupenda japo unanipa maumivu kila kukicha. Umejaliwa kila kitu cha kunifanya nitabasamu lakini tabasamu sipati. Nimekukosea nini? Niambie basi nielewe, kama ni samahani nikuombe. Vitu vingi umejaliwa vya kunifanya nijivunie uwepo wako lakini nabaki kulialia kila siku...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupata new contact lini?

    Hellow african wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini? Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani? Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni lini tutaacha Kumsimanga Hayati Magufuli na kumuonesha kuwa hakuwa Rais mpenda Watanzania?

    "Tumeamua kurudisha ule utaratibu wa Kupandisha Mishahara ya Wafanyakazi kila Mwezi pamoja na Madaraja uliokuwepo miaka mingi ya nyuma" Rais Samia katika Kilele cha Mei Mosi leo Mkoani Morogoro. Chanzo: Mitandao ya Tanzania Ushauri wa bure ambao GENTAMYCINE leo nautoa kwa WANAFIKI Wote nchini...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ilivyotolewa Juzi mliicheka je, ni lini mtaanza Kuwacheka Timu Kubwa Raja Casablanca FC nayo kwa Kutolewa?

    Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  7. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Ni lini TRA mtawezesha tupate TAX Clearance bila kufika ofisi zenu zenu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda. Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA ni hili. Kwa kuwa sasa kila mtua anao uwezo wa kuingia mtandaoni na kufanya mchakato wa kulipa kodi...
  8. True Man11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mwanamke)

    Habari ndugu zangu, Nakuwaga najiuliza sana lini nitapata wangu wa maisha wa aina nimtakaye hata akiwa na mapungufu kidogo basi turekebishane maana mimi pia sijakamilika. Muda mwingi nawaza kwanini simpati ama wapi nakosea? Nachoko kuwa single na mpweke, najua hali hii mwengi mko naye wadada...
  9. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga kurejea barabarani Mei 2

    Hizi ni jamhuri mbili tofauti: Odinga katangaza kurejea barabarani. Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2? Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
  11. tpaul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama atembea na mwanaye wa kumzaa!

    Waswahili wanasema kwamba ukila nyama ya mtu sio rahisi kuacha hata kama utaahidiwa nyama nono ya ng'ombe kila siku. Wakati nilipopokea video hii (tazama hapo chini) kwenye kundi sogozi nilidhani mambo haya hufanywa na wazungu tu kwa kuwa wao wamepinda sana ukilinganisha na waswahili. Nilikuwa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Lini na vipi Ukraine inapanga kuanza shambulizi dhidi ya Urusi?

    Wakati majira ya kuchipua yakianza nchini Ukraine, hali ya utulivu ya uhasama imeshuka kwenye medani za vita vilivyoanza Urusi mwaka jana. Mashambulizi ya majira ya baridi ya Moscow hayakufanyika kabisa licha ya uhamasishaji wa mamia ya maelfu ya wanaume wengi ambao hawakuwa na mafunzo. Wengi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hata wanapokosea tunawasifu? Embu jiulize, ukoo wenu ni lini mtafaidi keki ya Taifa?

    Kuna mazingira wananchi wametengenezewa na CCM kuwalazimu wao kusifia tu kusifia tu hata kama yeye na ukoo wao wote ni masikini wa kutupwa na hawana mbele wala nyuma CCM, yenyewe imejitengenezea ulaji wa keki ya Taifa kupitia familia chache sana ambazo ndizo zitaendelea kuneemeka na mema yote...
  14. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Huu ndio ukweli ambao Roman imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima And the LORD said to Moses, "Make a fiery serpent, and set it on a pole; and every one who is bitten, when he sees it, shall live." So Moses made a bronze serpent... Numbers 21:8-9 Recently we received an...
  16. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hivi huu utumwa wa fikra Hadi lini?

    Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja. Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

    Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya Sh1.97 bilioni kwa ajili ya hospitali za Zanzibar ambao haukutekelezwa ipasavyo. Chini ya mkataba...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sabaya amemaliza lini kifungo cha miaka 30 jela?

    Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja. Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi. Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya...
  19. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ulijiunga lini JF? Uzi wako upi unaukubali?

    Mimi kama nasmile.nilijiunga 2011 Uzi wangu ninaokubali ni ule ni maswali gani hayajibiki duniani https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maswali-gani-unahisi-hayajibiki-duniani.651919/
  20. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha miaka miwili kupima utawala kimeanza lini?

    Tangu nipate ufahamu juu ya mambo ya siasa ni muda sasa. Wakati Hayati Mkapa anaingia madarakani sikuwa najua habari za siasa, lakini wakati wa Kiwete nilishajua mbivu na mbichi. Kikwete alipoingia madarakani alipimwa utendaji wake ndani ya siku mia. Magufuli nae alipoingia madarakani alipimwa...
Back
Top Bottom