Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,126
22,623
Salaam, Shalom!!

Nimewahi kuandika Thread isomekayo,

Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.

Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni.

Ikiwa jambo hili dogo halijatekelezwa Hadi sasa,

Je itachukua miaka mingapi Serikali ya CCM kuweza kuhakikisha Shule za msingi zinaunganishwa na Nishati ya umeme au solar Kila Kijiji, Ili Kila mwanafunzi aweze kupata na kutumia LAPTOP?

Ikiwa Nchi ndogo ya Rwanda imeweza,

Tujue, katika Nchi yetu chini ya utawala wa CCM itatuchukua muda Gani kama nchi kufika huko?

Ikiwa viongozi waliopo hawana MAONO hayo, tuchukue hatua Gani wananchi?

Karibuni.🙏

Amen.
 
Nawauliza CCM, mna mpango Gani na future ya nchi hii?
 
Ingetungwa SHERIA inayowaelekeza watoto wa viongozi wote wa umma kusoma shule za kata,

Naamini hatua kubwa katika Elimu Nchi hii ingekuwa imefikiwa Hadi sasa.
 
Karibuni.

Amen.
Kama nyumba za Waalimu na kununua vitabu wamegoma,itakuwa kompyuta?
Serikali ya CCM hii tunayoijua wote au Kuna nyingine mpya imeundwa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Salaam, Shalom!!

Nimewahi kuandika Thread isomekayo,

Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.

Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni.

Ikiwa jambo hili dogo halijatekelezwa Hadi sasa,

Je itachukua miaka mingapi Serikali ya CCM kuweza kuhakikisha Shule za msingi zinaunganishwa na Nishati ya umeme au solar Kila Kijiji, Ili Kila mwanafunzi aweze kupata na kutumia LAPTOP?

Ikiwa Nchi ndogo ya Rwanda imeweza,

Tujue, katika Nchi yetu chini ya utawala wa CCM itatuchukua muda Gani kama nchi kufika huko?

Ikiwa viongozi waliopo hawana MAONO hayo, tuchukue hatua Gani wananchi?

Karibuni.

Amen.
Kile siyo chama ni genge la matapeli wa kisiasa!
Wewe uliona wapi Mkuu wa Mkoa anatembelea VX ya milioni 600 na katika Mkoa huo Kuna shida ya maji,huduma za Afya na hali ya Elimu ni mbovu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Salaam, Shalom!!

Nimewahi kuandika Thread isomekayo,

Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.

Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni.

Ikiwa jambo hili dogo halijatekelezwa Hadi sasa,

Je itachukua miaka mingapi Serikali ya CCM kuweza kuhakikisha Shule za msingi zinaunganishwa na Nishati ya umeme au solar Kila Kijiji, Ili Kila mwanafunzi aweze kupata na kutumia LAPTOP?

Ikiwa Nchi ndogo ya Rwanda imeweza,

Tujue, katika Nchi yetu chini ya utawala wa CCM itatuchukua muda Gani kama nchi kufika huko?

Ikiwa viongozi waliopo hawana MAONO hayo, tuchukue hatua Gani wananchi?

Karibuni.🙏

Amen.
Vishikwambi vimekwama haviendi wengi wanachezea karata tu hivi sasa
 
Ingetungwa SHERIA inayowaelekeza watoto wa viongozi wote wa umma kusoma shule za kata,

Naamini hatua kubwa katika Elimu Nchi hii ingekuwa imefikiwa Hadi sasa.

Isingebadilisha chochote. Sanasana kuna treatment ambayo mtoto wa kiongozi ataipata tofauti na wengine. Hapa namna ni kuboresha mazingira yaliyo kuanzia walimu, walipwe mishahara ya kueleweka na hii fani iwekwe mbali na wanasiasa na siasa
 
Ikiwa Mwl Nyerere aliweza kuhakikisha tunapata chakula mashuleni,

Tulipasa Awamu ya SITA shule za kata wanafunzi wawe na laptop kama kitendea KAZI katika ujifunzaji!!
Kuna siku niliumia nilikuwa naangalia documentary moja Kenya,kuna dogo yupo Primary lakini anajua issues za "Coding" vibaya mno.
Alafu sisi tupo na hiki chama cha Majangili tunadanganyana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ingetungwa SHERIA inayowaelekeza watoto wa viongozi wote wa umma kusoma shule za kata,

Naamini hatua kubwa katika Elimu Nchi hii ingekuwa imefikiwa Hadi sasa.
Viongozi wengi hawana watoto wanaosoma wengi wao wana wajukuu na watoto waliomaliza basic education
 
Isingebadilisha chochote. Sanasana kuna treatment ambayo mtoto wa kiongozi ataipata tofauti na wengine. Hapa namna ni kuboresha mazingira yaliyo kuanzia walimu, walipwe mishahara ya kueleweka na hii fani iwekwe mbali na wanasiasa na siasa
Kwann tuzidiwe na Rwanda, Taifa dogo na ni waafrika wenzetu?

Rwanda hata bandari, ziwa au migodi ya Dhahabu hawana.

Tukienda hivi, watatutawala one day.
 
Kuna siku niliumia nilikuwa naangalia documentary moja Kenya,kuna dogo yupo Primary lakini anajua issues za "Coding" vibaya mno.
Alafu sisi tupo na hiki chama cha Majangili tunadanganyana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tusipoangalia, tutakuja tawaliwa na majirani.

ELIMU ni Kila kitu.- Lowassa!!
 
Salaam, Shalom!!

Nimewahi kuandika Thread isomekayo,

Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.

Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni.

Ikiwa jambo hili dogo halijatekelezwa Hadi sasa,

Je itachukua miaka mingapi Serikali ya CCM kuweza kuhakikisha Shule za msingi zinaunganishwa na Nishati ya umeme au solar Kila Kijiji, Ili Kila mwanafunzi aweze kupata na kutumia LAPTOP?

Ikiwa Nchi ndogo ya Rwanda imeweza,

Tujue, katika Nchi yetu chini ya utawala wa CCM itatuchukua muda Gani kama nchi kufika huko?

Ikiwa viongozi waliopo hawana MAONO hayo, tuchukue hatua Gani wananchi?

Karibuni.🙏

Amen.
Tafuta walimu wakuoneshe ubora wa vishkwambi vyao🥶

Sasa hizo laptop ndio itakuwa majanga
 
Kwann tuzidiwe na Rwanda, Taifa dogo na ni waafrika wenzetu?

Rwanda hata bandari, ziwa au migodi ya Dhahabu hawana.

Tukienda hivi, watatutawala one day.

Kama rwanda ndio reference unahitaji kuwa makini, we need to look at south africa kama mfano kwenye elimu?
Kutupita kwao kunatokana na sisi kushindwa kusimamia sera, na kuweka siasa hadi kwenye elimu
 
Mkuu tutatawaliwa tu; mfumo wetu wa Elimu ni bomu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Mimi nimestuka, lazima tuchukue hatua.

Vyama kinzani vichukue mawazo yetu, CCM ni fuata upepo, itaiga na tutasonga.

CHADEMA 🙏 njooni na sera makini kuelekea uchaguzi, maana tunaelekea shimoni.
 
Back
Top Bottom