Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

Mtu anatakiwa aolewe akiwa na umri gani?
Hakuna umri maalum kwa kuolewa hasa katika dunia ya leo. Kna watu wanachagua kutoolewa kabisa. Na kuna wengine chini ya miaka 18. Nasema hivi kwa sababu unapoweka kigezo cha umri unakuwa unatengeneza tension kwa dada zetu hasa wakiona muda unaenda. Ukinibana sana niseme makadirio bila kujali niliyoelezea, nitasema kuanzia 25 years mpaka 35 years ni sahihi kwa mwanamke kuingia kwenye ndoa.
 
Learn to leave with it, you can be on crowd and you can be lonely on marriage as well.
 
Back
Top Bottom