KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka.

Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii changamoto.

Nadhani Kuna hujuma zinaendelea ambazo wanachi hatuzifahamu.
 
Back
Top Bottom