A
Anonymous
Guest
Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini.
Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu.
Mradi wa SGR haukamiliki na hatujui timeline yao ni ipi, lakini kadhia ya kutumia barabara hii ni kubwa.
Tunaomba majibu kwa mamlaka husika ya lini mradi utakamilika na ujenzi wa barabara hii muhimu