Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo
Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa
Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa
Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
Asalaam Aleykum
TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi?
Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
Na akishinda tegemeeni hali ya maisha yenu yataendelea kuwa magumu mno, kuanzia hela ya kula na hata matumizi madogo madogo ya kifamilia haitawezekana.
Maisha yatazidi kuwa magumu na hali ya uhalifu itashika kasi hapa nchini, watu wa kawaida watauana wao kwa wao
Uchumi wa nchi utaendelea kuwa...
Pamoja na yote yanayotokea ila ni lazima Rais wetu tumlinde kwa nguvu zote. Rais ni tunu ya taifa, hivyo alindwe kwelikweli.
Naipongeza sana PSU & TISS kwa kazi nzuri ya kumlinda Rais wetu.
Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?
Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti.
Amesema hayo Bungeni...
Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma.
Picha Linaanza simu ya...
Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ...
Mazoea sio kanuni Wala Sheria
Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI
Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza .
Refer ametenda haki mazoea sio Sheria au kanuni
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini?
Nifanyaje hapa wadau?
Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..
Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje...
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.