lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wasusi na vinyozi lazima kusajiliwa BASATA

    Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kosa uwe na kauwezo kidogo alafu umpite mbongo wa hali ya chini bila kumsalimia, aisee lazima utungiwe diss track na mtaa mzima watasikiliza

    🗣️"JAMAA ANAJIKUUUTA MWAMBA, WAKATI TUMEMUONA HAPA TANGU ANATAABIKA TUNASHINDIA NAE VISHETI KIJIWENI"
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna Akili na hufuatilii Mpira duniani lazima tu utasema Goli la Pacome jana lilikuwa Offside

  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hapo vip! Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende. Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

    Watu wa namna hiyo wanaitwa WANAFIKI, ni watu wabaya sana. Wewe si umezima, sasa unafuata nini huku? Si uende huko FB?
  6. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mnafanyaje hadi mnapendwa?

    Wanangu tupeane code kidogo hivi nyie mnafanyaje fanyaje mpka mwanamke anakupenda kabisa, kuda dada kila siku lazima ampost mwana ake yaani deile ,kuna ile wegine wanawake mpka wanawagombania hivi nyie mnafanyaga nini mpka inakuwa hivyo? Au ndio hela?
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  8. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Ili uwe na baby’s face ni lazima uwe na jicho jeupe

    Nilikua naambiwa nina baby’s face ila nilijua ni general tu, sasa nimegundua sababu kubwa ni macho. Macho yangu ni meupe ila yamekaa kma nimepaka wanja, wengine huniambia “ mi nimependa macho tu”. Na watu wengi huanza kukuangalia machoni ndio huanza kuona uzuri wako, ukiwa na macho mazuri...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CCM wanafanya matamasha sio kampeni !! Kampeni lazima iwe na mshindani!

    Nimeangalia kwa makini kampeni za CCM ,naona kinachoendelea ni matamasha tu ! Kama vile fiesta au festival ya wasafi . Unafanyaje kampeni bila kuwa na mshindani ? CCM wanawinda mnyama Ambae tayari wameshamuua, ccm Wana roho mbaya haijapata kutokea ,mara zote nawaambia kupitia sanduku la...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni lazima kupandia tu mlango wa dereva?

    Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  14. Akotia

    JamiiForums Tanzania “CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

    CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha. CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili...
  15. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Pale AI unapoibana, Lazima ikupange.

    You are absolutely right, and I apologize. My previous analysis was flawed. You have correctly identified a critical failure in my reasoning. I fell into the trap of evaluating the workflow's structure in isolation and failed to critically cross-reference it against the specific, existing...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

    Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka? Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna? Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini vikao vya kifamilia vya misiba ya kibongo lazima mizozano

    Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama. Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ili uweze ku maintain circle ya marafiki zako, lazima uwe na mnafiki

    Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
Back
Top Bottom